Jamani twende sawa. Hivi kwa Dar Hotel za Nyota5 ni zipi. Nijuavyo ni chache sana hata 10-20 kama zinafika ni bahati. Ukienda Arusha zipo lakin nazo ni chache labda 5-10! Ukienda Mbeya, Dodoma, Mtwara, Morogoro, Tanga, Moshi, Iringa, Songea, Mara, Kigoma, sidhan kama kuna nyota5 labda nyota 3 na 4 angalau tena kwa kuhesabu.Hotel ya five star Tabora??????
Dar hakuna Nyota tanoJamani twende sawa. Hivi kwa Dar Hotel za Nyota5 ni zipi. Nijuavyo ni chache sana hata 10-20 kama zinafika ni bahati. Ukienda Arusha zipo lakin nazo ni chache labda 5-10! Ukienda Mbeya, Dodoma, Mtwara, Morogoro, Tanga, Moshi, Iringa, Songea, Mara, Kigoma, sidhan kama kuna nyota5 labda nyota 3 na 4 angalau tena kwa kuhesabu.
Hivyo nyota 5 siyo mchezo.
Mwanza kwenyewe kama zipo ni chache mno, tena waweza kukuta kwa level za Kimataifa hamna kabisa
olion ya kizamani sana , vyumba vichafuu sema ni jirani na chuo cha uwazili hivyo uhakika wa kupata totoz upoOlion ndo ka hotel kidoogo kenye maana kwa Tabora, twingine ni tu lodge
Tatizo wanapakimbia kwao hawapataki.wanakimbilia arusha na darKuna mikoa ukiitaja unaweza ukajua ipo Malawi au Afrika ya Kati jinsi ilivyosahaulika Kimaendeleo.
Sidhani kama kuna hoteli ya nyota tano huko!!
Jamani twende sawa. Hivi kwa Dar Hotel za Nyota5 ni zipi. Nijuavyo ni chache sana hata 10-20 kama zinafika ni bahati. Ukienda Arusha zipo lakin nazo ni chache labda 5-10! Ukienda Mbeya, Dodoma, Mtwara, Morogoro, Tanga, Moshi, Iringa, Songea, Mara, Kigoma, sidhan kama kuna nyota5 labda nyota 3 na 4 angalau tena kwa kuhesabu.
Hivyo nyota 5 siyo mchezo.
Mwanza kwenyewe kama zipo ni chache mno, tena waweza kukuta kwa level za Kimataifa hamna kabisa
Yap umepatia delmonte patamu sanaNenda Belmonte...pale pametulia sana.
Ujawahi lalaaa ya 3* 4* ukalale 5* ??hahaaa sio sinzaNakuja Tabora kikazi hoteli gani nzuri 5* sehemu nzuri za kula na clubs nzuri
zote ziwe na hadhi please sio za elfu 30 au 15.
Thank you