M Mosae Member Joined Jul 4, 2016 Posts 12 Reaction score 3 Jul 4, 2016 #1 Msaada nina tablet tajwa hapo juu huwa wakati mwinyine inanizuia kufanya chochoye pale inapoanza kufungua fungua na kufunika funika mafile, na hata hunikatia simu wakati naongea bila mimi kuitouch. Shida yake nini, nawasilisha.
Msaada nina tablet tajwa hapo juu huwa wakati mwinyine inanizuia kufanya chochoye pale inapoanza kufungua fungua na kufunika funika mafile, na hata hunikatia simu wakati naongea bila mimi kuitouch. Shida yake nini, nawasilisha.
Mwandwanga JF-Expert Member Joined Dec 2, 2011 Posts 3,057 Reaction score 1,573 Jul 5, 2016 #4 Husseindominant said: Badisha tourch Click to expand... Abadilishe nini boss?
Singida ndio home JF-Expert Member Joined Feb 23, 2012 Posts 3,188 Reaction score 3,378 Jul 5, 2016 #5 Kama hili linakutokea unapoichaji..hakikisha unaichaji na original chaja