Tablet yangu imegoma kuwaka

Tablet yangu imegoma kuwaka

Mwembeni

Member
Joined
Apr 21, 2011
Posts
51
Reaction score
16
Wanabodi nisaidie, tablet yangu imegoma kuwaka nimejaribu kuicharge nikifikiri charge imeisha lakini bado haiwaki

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Ni tablet aina gani?je ina charge (yaani ina moto)?kama ni Samsung angalia chaja yake hasa cable kule mbele kwenye kitufe cha usb huwa nyaya zinaachana.Kama chaja ni nzima basi nitakuwa sina la ziada
 
Inawezekana imewaka but screen ina giza pole sana.haijanyeshewa na mvua lakin?
 
Back
Top Bottom