Infopaedia
JF-Expert Member
- Oct 28, 2011
- 1,234
- 1,503
Habari zenu wakuu. Nina samsung tablet GT-N8000 ime-lock na inahitaji PIN kufunguwa. Ime-lock baada ya ku-exceed screen unlock attempts. Nilikuwa natumia pattern ku-unlock screen. Wakati na-set hiyo pattern, sikuwahi kuweka PIN yoyote. Nimerudi home nakuta dogo kajaribu kufunguwa mpaka ime-lock. Naomba msaada wenu wakuu.