Tabiri

Tabiri

kingfish

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Posts
571
Reaction score
159
Nani atapigwa jiwe?
 

Attachments

  • nani.jpg
    nani.jpg
    22.5 KB · Views: 382
Mambo ya mawe yashapitwa na wakati, siku hizi ni mwendo wa Tindikali tu.
 
Anasubiri ndege ashuke ampige jiwe la kichwa jamaa (ex wake) ili asingizie alikuwa anaua ndege kumbe nia yake ni kuua jamaa ili wakose wote.
 
Mambo ya mawe yashapitwa na wakati, siku hizi ni mwendo wa Tindikali tu.


Tindikali kwa wenzetu mpaka upate ruhusa ya ununuzi ila hapa Bongo mwendo mdundo tu, kwani hata mtoto anaenda shule na tindikali. Mwananyamala sokoni wanauza tindikali kwa mafungu/viroba kwa ajili ya kwenda navyo uwanjani kuangalia mechi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom