Wasalam wana jf,ivi karibu kwenye kingamuzi cha star times naona majaribio ya ujio ya tv mpya kwa lugha ya malkia(signal test) je ndio ujio mpya kwa tabibu aliyefungiwa na serikali kutoa huduma ya tiba ya mbadala??
............ ukaandika "sio Mwaka", wakati unajua kwa hakika sio Mwaka, ndipo nlipokwambia "kweli ni wiki chache tu." sasa wa kuacha upuuzi hapo ni nani?
............ ukaandika "sio Mwaka", wakati unajua kwa hakika sio Mwaka, ndipo nlipokwambia "kweli ni wiki chache tu." sasa wa kuacha upuuzi hapo ni nani?