Tabia zinazokera maofisini na sehemu za kazi

Tabia ya kuomba omba ,,hadi soda ukinunua wa naomba kumiminiwa,,km umekuja na sambusa 5 ofisini utakula moja

Wanaume kudicuss mpira kwa sautiiiiiiii km wanagombana...

Kuna ofisi ilikua ukinunua maji ukitoka unakuta yamenywewa,,,

Mautani utani ya kijinga,,,,.
 
Moja kati ya kitu kinachoniudhi ni pale mwanamke nafanya nae kazi ofisi moja, mshahara wetu sawa, then ana mume tena mumewe ana uwezo, then kazini aniombe nimnunulie kinywaji wakati hela ya kutumia matumizi yote madogo hadi makubwa huwa anapewa na mumewe na huwa anajisifia kwa hilo, ndio maana mi huwa nawanunulia na pia naomba mechi ya kirafiki nao
Kwa hela yangu ya kinywaji tu napiga mbu.pu hadi naridhika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada kuna tabia kama namba 2 na hiyo ya kuwashiwa kompyuta ni asili ya jinsi ya kike. Hivyo hupaswi kuwalaumu.

Kuhusu masuala ya pesa inategemea. Mie ni me na met wangu wa kike ndio huwa wananipa mshiko. Hawajawahi kuniomba wala na mimi huwa siombi ila huwa WANAAMUA KUNITOA WAKIJISIKIA.

BTW. Hivi hujui baadhi ya uliyoyataja yanaashiria kwamba huyo met wako wa kike anataka MUWE KARIBU ZAIDI?

TAKE CARE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tabia zote nazipenda mkuu maana hata mimi huwa nawafanyia za kwangu pia ambazo nazipenda lakini sijui kama wanazipenda au hawazipendi ili mradi wao wafanikiwe na mimi nifanikiwe,kila kitu ni kwa mabadilishano tu siku hizi!akiomba na wewe muombe kama hana na wewe sema sina.....OVER....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari

Huku maofisini kuna tabia nzuri na mbaya. Ila leo naomba niongelee hizi tabia mbovu

1. Tabia za kuazimana pesa hasa hasa kwa wanawake wana tabia hizi. Usiombe ukaazimwa pesa na mwanamke bora mwanaume mwenzako.

2. Tabia ya kuomba ununuliwe soda, maji, chai n.k. Ukiwa na workmate wa kike hapo ipo shughuli. Ukiona unasifiwa sana ujue na mizinga itakuja tu no way.

3. Tabia ya kuombwa uchangie huduma wakati umepewa lift. Mfano gari lipate shida wakati umeomba lift, hahaha hapo lazima uchangie gharama heri kutembelea mwendo kasi tu kuliko vya watu.

4. Tabia ya kuomba uongezewe hela kidogo hasa hasa kwa wanawake mara luku nadaiwa, pango n.k

5. Tabia ya kuitana itana mrembo, cwty, hb mi sizipendi.

6. Tabia ya workmate wa kike kuomba kusaidiwa mpaka kuwasha computer inanikera sana, kwa nini usiombe jinsia yako.

Embu endeleeni hayo ndio yaliyonikuta.
kuongea lugha za kikabila
 
Back
Top Bottom