likandambwasada
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,402
- 6,072
MAOFISIN UKIMKOPESHA HELA MWANAMKE UJUE UMETOA MSAADA, MANA HATA KUDAI UNAANZAJE?
Jiepushe mazoea na wafanyakaz wa kike mkuu

Pambana na hali ya kazini kwakoHabari
Huku maofisini kuna tabia nzuri na mbaya. Ila leo naomba niongelee hizi tabia mbovu
1. Tabia za kuazimana pesa hasa hasa kwa wanawake wana tabia hizi. Usiombe ukaazimwa pesa na mwanamke bora mwanaume mwenzako.
2. Tabia ya kuomba ununuliwe soda, maji, chai n.k. Ukiwa na workmate wa kike hapo ipo shughuli. Ukiona unasifiwa sana ujue na mizinga itakuja tu no way.
3. Tabia ya kuombwa uchangia huduma wakati umepewa lift. Mfano gari lipate shida wakati umeomba lift hahaha hapo lazima uchangia gharama heri kutembelea mwendo kasi tu kuliko vya watu
4. Tabia ya kuomba uongezewe hela kidogo hasa hasa kwa wanawake mara luku nadaiwa, pango n.k
5. Tabia ya kuitana itana mrembo, cwty, hb mi sizipendi
6. Tabia ya workmate wa kike kuomba kusaidiwa mpaka kuwasha computer inanikera sana kwa nini usiombe jinsia yako
Embu endeleeni hayo ndo yaliyonikuta
Kuna hii moja, naomba simu yako kama ina dakika niongee mara moja....
Kwa kweli mi nilimkatalia mmoja akaninunia nikaambia kama ni kaka yako wa tumbo moja NATO's mchanga lakn cjui binam cjui nani nani hapanaWanawake wana matatizo sana maofisini...mm sipendi tabia ya kuletewa kadi ya mchango mtu hata simjui utasikia ndg yangu anaoa sijui nn hali yenyewe sasa hivi tete bora kipindi cha nyuma ilikuwa afadhali nakataa tu siku hizi wala simuonei mtu aibu
Habari
Huku maofisini kuna tabia nzuri na mbaya. Ila leo naomba niongelee hizi tabia mbovu
1. Tabia za kuazimana pesa hasa hasa kwa wanawake wana tabia hizi. Usiombe ukaazimwa pesa na mwanamke bora mwanaume mwenzako.
2. Tabia ya kuomba ununuliwe soda, maji, chai n.k. Ukiwa na workmate wa kike hapo ipo shughuli. Ukiona unasifiwa sana ujue na mizinga itakuja tu no way.
3. Tabia ya kuombwa uchangia huduma wakati umepewa lift. Mfano gari lipate shida wakati umeomba lift hahaha hapo lazima uchangia gharama heri kutembelea mwendo kasi tu kuliko vya watu
4. Tabia ya kuomba uongezewe hela kidogo hasa hasa kwa wanawake mara luku nadaiwa, pango n.k
5. Tabia ya kuitana itana mrembo, cwty, hb mi sizipendi
6. Tabia ya workmate wa kike kuomba kusaidiwa mpaka kuwasha computer inanikera sana kwa nini usiombe jinsia yako
Embu endeleeni hayo ndo yaliyonikuta
Tabia ya wanawake kupiga story za watu wengine na kucha kazi zao huku wakicheka kwa vicheko utadhani wako nyumbani.Habari
Huku maofisini kuna tabia nzuri na mbaya. Ila leo naomba niongelee hizi tabia mbovu
1. Tabia za kuazimana pesa hasa hasa kwa wanawake wana tabia hizi. Usiombe ukaazimwa pesa na mwanamke bora mwanaume mwenzako.
2. Tabia ya kuomba ununuliwe soda, maji, chai n.k. Ukiwa na workmate wa kike hapo ipo shughuli. Ukiona unasifiwa sana ujue na mizinga itakuja tu no way.
3. Tabia ya kuombwa uchangia huduma wakati umepewa lift. Mfano gari lipate shida wakati umeomba lift hahaha hapo lazima uchangia gharama heri kutembelea mwendo kasi tu kuliko vya watu
4. Tabia ya kuomba uongezewe hela kidogo hasa hasa kwa wanawake mara luku nadaiwa, pango n.k
5. Tabia ya kuitana itana mrembo, cwty, hb mi sizipendi
6. Tabia ya workmate wa kike kuomba kusaidiwa mpaka kuwasha computer inanikera sana kwa nini usiombe jinsia yako
Embu endeleeni hayo ndo yaliyonikuta
Hahaha hii Nayo ni kibokoKuna hii moja, naomba simu yako kama ina dakika niongee mara moja....
wacheni ujinga wenuWanawake wana matatizo sana maofisini...mm sipendi tabia ya kuletewa kadi ya mchango mtu hata simjui utasikia ndg yangu anaoa sijui nn hali yenyewe sasa hivi tete bora kipindi cha nyuma ilikuwa afadhali nakataa tu siku hizi wala simuonei mtu aibu
Mmh! Ya kweli haya babu?Usilogwe hata siku moja ukamkopesha bidada pesa.... We fanya kumpa tu... Ukimkopesha labda ulipwe mbunye...
Umeonaee.. Wakishajua we una kabando tuu ni shiida
Na kwa bahati mbaya sana hufanywa na wote wanaume na wanawake alafu unakuta hamwambii aliye ongea nae kua ile namba si yake hivyo aliyepigiwa anaweza kuja kukubip bip siku nyingine ikawa ni keroUmeonaee.. Wakishajua we una kabando tuu ni shiida