Tabia za wazungu


Mzungu wa kumwamini ni alie kufa tu basi.

Huu utuwa wa fikra hauta kwisha kwako ndugu, hivi ili umsifie mzungu ni lazima umtoe kasoro mwaafrika mwenzako??

Umebeba mzigo mzito sana ndani ya ubongo wako kwa utukuza uzungu na kuubeza uafrika wa baba, mama,bibi na babu zako.

Sifa kuu ya binadamu ni kukosa ukamilifu ndiyo maana akaitwa binadamu wakubali waafrika wenzako japo kwa hayo mapungufu yao maana ukiyajua mapungufu ya wazungu utajutia hapa hiki ulichokiandika hapa.
 
We umekutana na waromania,russia au wapolish.hao si wazungu
 

Volunteers wako cheap sana. Wanaishiwaga hadi kuwapelekea kuishi guest za 5000 na kula kwenye vigenge vya mama ntilie,fly catcher huwa wanawachuna na kuwakimbia Pindi wanapoishiwa. Nimewagonga sana hawa viumbe hadi wengine tukakasirikiana kwa kuwachanganya. Ila sijawahi kuwa approach zaidi ya kuwashikashika pindi wamepiga maji na kuwachapa nao.
 

Vile Vile Wana AKILI Sana Na Mno Ya Hadi Kukushinda Wewe Uliyeanzisha ama Kuleta Uzi Huu.
 
Nachowapendea hawa wazungu hasa wa scandinavia kitu cha kwanza mtoto akiianza shule anafundishwa ukweli na uaminifu. Walikuwa rough sana karne zilizopita na hali duni ya kimaisha ila walijifunza wakaamua kubadilika. Je unaweza amini Ethiopia iliisaidia Norway msaada wa chakula ngano miaka ya 60. Sasa piga picha mwenyewe
 
Wazungu wenye roho mbaya ni mgiriki muhispania mreno na muitaliano. Ni wabaguz kupita kias na ni vigum sana kuona na weus. Ni wavivu na wanapenda kuparty sana ndio maana chumi zao zimedorora halaf wanajiona high class sana. But aryan or Caucasin hawa wa kaskakazin ni poa ndio maan
 

Tuelezee na tabia za wangoni.
 
Nilisikia kipindu pindu kiliua sana scandinavia miaka ya sitini 60s. Lakini ilipofika miaka ya sabin ikawa historia na kuaapa kamwe haitatokea. Sasa hawa wameweza kwanini na cc Waafrika tusiweze. Inawezekana tatizo ni kwamba tunarithishana umaamuma vizazi na vizazi na kila kizazi kipya umaamuma unaintesify. Angalia kama kizazi hichi vyuo vikuu vingi wahitim we nye degree ni wengi lakini hali ya maisha inazid kuwa duni ukilinganisha nyuma.nyambaff zetu
 
Wazungu wengi wana harufu fulani hivi, siipendi. Sijui ni mafuta!

Harufu huchangiwa pia na bakteria wanaoishi kwenye ngozi,wasio na madhara; tunaita normal flora. Hawa wanaeza tofautiana kulingana na asili ya ngozi,na mtu asipooga huzalisha uchafu zaidi na harufu mbaya. Kwahiyo vile tunavosikia harufu mbaya kwao,basi na wao hutuona waafrika tuna harufu mbaya pia.
 

Hawawazidi wachina, wachina wananuka sijui harufu ganii,kuna mmoja alipanda basi nilikuwemoo basi zima lilibadirika harufu
Wazungu mbona wengi wasafi tu nishakutana nao baadhi wananukia vizuriii mafuta yao waliopaka,ila na wachafu wapo tuuu sidhan ni wasafi wotee
 
Hawa dada zetu wanaotongozwa na waitaliano sijui hawajui hawa jamaa ni wahuni kupita kiasi? Nishajijengea picha kila mwanamke anayekuwa na muitaliano,kashafanyiwa ushenzi wote. Hawa jamaa mapenzi yao ni ya kukomoa na kudhalilisha,halafu na vurugu pamoja na dharau kipindi wamelewa.
 

Nikuulize ivi kwani wazungu wako poland tu?
 

mjerumani je?
 
Pia ni wanafiki sana wanauma na kupuliza pia kitu kidogo tu wameshatuma Email ila ukiwakolomea ni waoga sana wanaomba msamaha.
 
Wazungu wengi wana harufu fulani hivi, siipendi. Sijui ni mafuta!
Halafy wazungu wanasemaga weusi tuna harufu mbaya sana.kila ngozi iko na harufu yake. Mimi ni mbongo na nimeishi ulaya miaka 17 na uwa nikijaga bongo yaani harufu za watu huwa some of them in mbaya, siyo kwamba hawaogi no tofauti ya nguzi ya MTU na hali ya hewa. Mbona wengi tu wananuka vikwapa hata wapake nini., harufu no mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…