Tabia za watu zinazonikera

Ama tummwagie tindikali.
mkuu adhabu inategemea na ur source of origin, kama ni chuga moko basi ukiudhika unaandamana , kama ni urojo type basi unatumia tindi kali, lakini kwa jamaa nashauri tutumie tindi pole..
 
Khaa... kuweka sread ambayo nilikuwapo muda mreu uliopita inakera

kwakweli ni mreu mpaka umesahau kama ni mrefu, hiyo mreu kwa hesabu zangu itakua ni karne mbili hivi, ila kwa hii sredi kero yako itakua namba 10, afu bro nina swali la kizushi kwako kama gold membership wanalipa 30, tanzante kilo, silver ni ngapi na bronze je, mi nahisi itakua umelipia buku 6 au 7 zile za lumumba..
 

Third world yote ndio iko hivyo mkuu. Pole sana
 
Hapo kwenye redi ujue ni familia moja;
Umeamua tu kusema
lakini sijui kama ni kweli.

 

hama nchi sasa! Halafu we Mzee nikikukamata umeisha!
 
Last edited by a moderator:
chama.
Au unataka niweke clips za mazingumzo yetu!!!
Mzee inabidi ufanye jitihada uwaone madaktari Lutindi au Mirembe inaonekana kuna hatari sana mbele yako; yaani Chama akukope wewe?? Hiki ni kituko nachelea nisije kufuru bure!!
 
Last edited by a moderator:
Hapo kwenye redi ujue ni familia moja;
Umeamua tu kusema
lakini sijui kama ni kweli.
Mamndenyi
Huyu jamaa Mzee naona inabidi tumsaidie awaone madaktari bingwa Mirembe au Lutindi inaonekana wazi kuna kitu si shwari kwenye kichwa chake!
 
Last edited by a moderator:
sipendi kupiga story binafsi kwenye daladala,iwe kwenye simu ama mwenzangu..ni bora kuzungumza mda za kufundishana na siasa ndani ya daladala watu wengine ,..sijui vipi story mnzopiga kazini au mazungumzo na deal zenu unazileta kwa public tena ya daladala
 
ila hata kujipa vyeo vyakijnga fb n upumbav m2 ansema anasoma ifm wakat unajua fika kwamba yuko form 2 cjui anamaana gan
:yell:
 

kujigamba oh wew unahela..oh wew noumah wakat maisha yenyew unaunga unga wa2 2nakuchora 2...inakera sana
 

duuuuuh!!?
 
Kushabikia Chama la Wezi, wabwia-unga, mafisadi, majangili bila haya Wala soni..
 
Kuacha chupi/boxer/------ nje.hua nataman nimkate m2 vibao ila jamhur hairuhus kujichukulia sheria mkononi!
 
kutokupenda kupanga foleni wakati wa kusubiri huduma.
kutematema mate ovyo
kumzunguka muuza magazeti kusoma vichwa vya habari (siku hizi yanapigwa pini)
 
11.kuwakosoa wenzao bila kujirekebisha mapungufu yao.
Nalog off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…