Aisee mimi kama bin Adam hzi tabia kwa kweli zinanikera sana...
1. Kuchungulia mtu anaoga bafuni
2. Kusoma SMS inayoandikwa na mtu asiyekuhusu wala hamjuani
3. Kujitapa kwa vitu usivyokuwa navyo kama vile kujidai umesoma au unamiliki gari wakati siyo
4. Mtu kukataa asili yake au kukana ndugu zake
5. Wapenzi wanaosimulia kwa wengine jinsi walivyofanya ngono na wenzi wao usiku uliopita
6. Mgeni kuwasha TV au kufungua friji bila ya kuruhusiwa na mwenyeji wake
7. Watu wanaoongea mambo yao binafsi ya mahusiano kwenye usafiri wa Umma
8. Watu wanopenda kuvaliana nguo za ndani au kuazimana nguo na viatu
9. Wenzi wanaopiga mayowe wakati wa ku..do ilhali wanajua wanaishi kwenye nyumba isiyo na dari
10, Watu wanaoporomosha matusi hadharani bila ya kujali hadhira iliyopo mchanganyiko wake ukoje.
Kama na wewe una tabia kama hizi tafadhali sana USINIKWAZE!!
Nakerekaga
1. Tabia ya mtu kupanda kwenye daladala huku kavaa vest na hajanyoa jikwapa lake halafu umkute kasimama kashikia bomba
2. Kutoa hewa chafu kwenye mjumuiiko wa watu wengi
3. Kupenga makam**i kwa mkono halafu mtu anajifutia nguoni au anafikicha mikono... Majitu kama haya huwa ya kwanza kutoa mkono yakikutana na watu
Is this hygienic?Kutafuta kupeana maradhi tu...kichefchef....Ipo yaani mtu anakwenda kwa mshikaji akilala akiamka tayari Underwear ya mwenzake iko mwilini!! Na hiii haina jinsia bali zote mbili, KE na ME.
ikkkkkkk disgusting mama mia...11. Tabia ya kuingiza vidole puani na kuvitoa kuvilamba mdomoni.
Hahahahahahahahahahaha
JF is never boring
haha mkuu hiyo namba 5, inaonekana umemiss sana ban, ngoja mkuu akuje pande hizi arekebishe1. Mademu wanaopenda kupiga mikuki (Kuomba omba hovyo) ref. Mamndenyi.
2. Kukuna map.mbu yako kisha kunipa mkono wako. ref. Bishanga
3. Kujifanya kila kitu unajua. Kila stori unachangia ref. Lady doctor
4. Kukopa halafu kulipa unazingua. ref. chama.
5. Invisible kunipa BAN kisa nilikataa kumkopesha.
6.
7.
8.
n.k
haha mkuu hiyo namba 5, inaonekana umemiss sana ban, ngoja mkuu akuje pande hizi arekebishe
basi poa kamanda kama mnaelewana hakuna tatizo, ila kama anakupiga ban kwakua umemtosa mkopo si ishu kivile, tuandamane
basi poa kamanda kama mnaelewana hakuna tatizo, ila kama anakupiga ban kwakua umemtosa mkopo si ishu kivile, tuandamane
namba 4. hapo pana utata wewe mwenyewe magumashi matupu unaishi kimjinimjini huna lolote sioni ulichonacho cha kukopwa Chama anakopa Barclays bank na anautaratibu mzuri tu wa kulipa madeni yake na hadaiwi na mtu yoyote!