Habari za Leo wanajamii. naitwa Philip wa Dsm nimekutana siku za karibuni na binti mmoja ambae nimetokea kumpenda na ninamalengo Mungu akitujalia awe mke wa ndoa. sasa naomba ushauri kama kuna mtu yeyote anafahamu kuhusu wanawake wa kabila la Kindamba kutoka Morogoro naombeni ushauri nampenda sana na kwa kumuangalia ni binti anaejiheshimu sijajua tu undani wake Asanteni