Nilimaanisha kwamba hata kama umekaa na mtu (mke na mume) miaka 50, huwezi sema kwamba huitaji ushauri kutoka kwa mwenza wako maana sasa unajiweza, mwanamke au mwanamke usiyehitaji kushauriana na mwenzako katika masuala yenu kwa sababu tu eti mmekaa muda mrefu sasa kila mtu anaweza kujiamulia tu, sio kweli na sio sahihi, ni ubinafsi tu uliotakona na ushauri mbaya ulioupata nje ya nyumba yenu.
Fanyia kazi kila unachoshauriwa na mwisho wa siku fanya maamuzi sahihi, maamuzi ya ubinafsi hayajawahi kuwa sahihi!
Ni hayo tu mkuu.