Tabia za wanawake wa mkoa wa Mbeya

Ila ni mabaunsa,

Wanapenda saaana kumiliki hadi akir za mwanaume.

usipokaa chonjoo watakuenyesha.


Wengi wasaafi nje kimuonekano, ila ndani ya nyumba halaulaaaaa

kimahusiano sio waaminifu 75% ila ukioa cool on the house

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo ni tabia au majukumu?
 
Na Mabwanyenye wa kando ya ziwa. Anaweka sifa, anaweka vigezo vya uwongo...Ila kwa namna ni ukweli
 
Mabinamu wanagongana san!
Demu wa kinyakyusa akikwambia huyu shemeji/ kaka/ binamu yangu/ nilisomaga nae ujue kishagawa uroda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…