kweli na ni washirikina,ushahidi ninaoNaomba mnijulishe tabia za wanawake wa kabila hili maana naona wengi sana wamezaa bila ndoa, na pia nilishawahi ona mzazi akimuonya mwanae asije akaoa Mmanyema
Naomba mnijulishe tabia za wanawake wa kabila hili maana naona wengi sana wamezaa bila ndoa, na pia nilishawahi ona mzazi akimuonya mwanae asije akaoa Mmanyema
Wamanyema wengi ni wajuzi na wanasifika kwa kujengewa majumba kariakoo zamani
zamani ilikuwa ukitaka mwanamke wa kimanyema lazima uwe na pesa....na walikuwa wanahongwa majumba tu
Si Kariakoo tu, ukienda Morogoro, Dodoma, Singida, Tabora, Shinyanga, Mwanza, Kigoma hukosi nyumba za kinamama wa Kimanyema.
Waliona mbali mapema.
Si Kariakoo tu, ukienda Morogoro, Dodoma, Singida, Tabora, Shinyanga, Mwanza, Kigoma hukosi nyumba za kinamama wa Kimanyema.
Waliona mbali mapema.
waha ni wachapakazi sana
wamanyema mamwinyi..maneno meengi
The BOSS wewe ni Mmanyema? Samahani kwa kuuliza
Naomba mnijulishe tabia za wanawake wa kabila hili maana naona wengi sana wamezaa bila ndoa, na pia nilishawahi ona mzazi akimuonya mwanae asije akaoa Mmanyema
mi mnyamwezi..
The Boss umepatia mulemule.
Manyema girl wana shape nzuri halafu unyago wanauweza.
Machine zao zinavutia. Kujenga nyumba ni lazima.
Kuhusu ushirikina sina hakika labda nimeshalishwa sijijui.
Kabint kangu haka kakimanyema nikichelewa kurudi nakuta kanalia kwa kwikwi. Nakaonea huruma inabidi niwahi kurudi home.
kuna watu walifikiri sio kweli niliposema hawa walikuwa wanahongwa majumba tu...
bora hata wa-gogo