Afro-Arabica
JF-Expert Member
- Aug 27, 2013
- 1,107
- 493
siKweli.... hao ni Asilia !!Naomba mnijulishe tabia za wanawake wa kabila hili maana naona wengi sana wamezaa bila ndoa, na pia nilishawahi ona mzazi akimuonya mwanae asije akaoa Mmanyema
siKweli.... hao ni Asilia !!Naomba mnijulishe tabia za wanawake wa kabila hili maana naona wengi sana wamezaa bila ndoa, na pia nilishawahi ona mzazi akimuonya mwanae asije akaoa Mmanyema
Hivi operation kimbunga imeisha eeeee,wote mliojitaja wa congo jiandaen kurud kwenu
Naomba mnijulishe tabia za wanawake wa kabila hili maana naona wengi sana wamezaa bila ndoa, na pia nilishawahi ona mzazi akimuonya mwanae asije akaoa Mmanyema
......kama #Wachagga ilivyo mkusanyiko wa wakaazi wa Kilimanjaro.
Wamanyema wengi ni wajuzi na wanasifika kwa kujengewa majumba kariakoo zamani
zamani ilikuwa ukitaka mwanamke wa kimanyema lazima uwe na pesa....na walikuwa wanahongwa majumba tu
Kwa bed wako njema,kwa ndumba wako vizuri na wana mdomo ajabu rrahmaan.
Mwanamke wa kimanyema akiamua kukuchamba utajuta!
..
.. bila kumpiga mbuzi kagoma na makofi ya mahips na kuya sugua vizuri HATAKUELEWAA..
Wamanyema wengi ni wajuzi na wanasifika kwa kujengewa majumba kariakoo zamani
zamani ilikuwa ukitaka mwanamke wa kimanyema lazima uwe na pesa....na walikuwa wanahongwa majumba tu