na wewe una shepu za kimanyema au mmanyema jina tu?
mmanyema jina...
na wewe una shepu za kimanyema au mmanyema jina tu?
mmanyema jina...
Pesa ndio mpango mzima. Kama huna pesa humpati mwanamke yeyote hata kama ni kabila gani. Pesa kwanza sura hata mbuzi anayo.the saga iz continue mdau,,,,pesa pesa pesa,,,,kama huna atakununia,,,,,
Kwa bed wako njema,kwa ndumba wako vizuri na wana mdomo ajabu rrahmaan.
Mwanamke wa kimanyema akiamua kukuchamba utajuta!
ha haaa pole sana
unge rithi shepu ungekuwa na jumba kariakoo now lol
Kumbe ndio maana kila atokaye kigoma anajiita mmanyema; ndi wajanja wao..te te te
ahahahaaaa...kweli saa hizi ningekua na kagorofa kangu k/koo...ila kaushepu ka kunitosha mwenyewe kapokapo....
Wamanyema wana nyodo mno
na wana dharau makabila mengine ya kigoma hasa waha
na wao wanapenda makuu na kuwa juu
na wanaamini wanawake wao ndo wazuri mno...
so ndio sababu
ingawa maingiliano ya sikuhizi yanabadili mambo meengi
Nyodo zao ndizo zinazowaponza. Ujiji imebaki vilevile kama ya mwaka 47. Vijana wote wameishia Bandari salama badala ya kuendelza mkoa wao. Wahaa, ambao ndio waliokuwa wanadharauliwa, ndo wanaopanda chati. Sasa hivi waha wanapiga hodi Ujiji na Mwanga.Wamanyema wana nyodo mno
na wana dharau makabila mengine ya kigoma hasa waha
na wao wanapenda makuu na kuwa juu
na wanaamini wanawake wao ndo wazuri mno...
so ndio sababu
ingawa maingiliano ya sikuhizi yanabadili mambo meengi
Nyodo zao ndizo zinazowaponza. Ujiji imebaki vilevile kama ya mwaka 47. Vijana wote wameishia Bandari salama badala ya kuendelza mkoa wao. Wahaa, ambao ndio waliokuwa wanadharauliwa, ndo wanaopanda chati. Sasa hivi waha wanapiga hodi Ujiji na Mwanga.
Wamanyema wana nyodo mno
na wana dharau makabila mengine ya kigoma hasa waha
na wao wanapenda makuu na kuwa juu
na wanaamini wanawake wao ndo wazuri mno...
so ndio sababu
ingawa maingiliano ya sikuhizi yanabadili mambo meengi
Pesa ndio mpango mzima. Kama huna pesa humpati mwanamke yeyote hata kama ni kabila gani. Pesa kwanza sura hata mbuzi anayo.
Wamanyema leo nawaelewa hapa
Kwa bed wako njema,kwa ndumba wako vizuri na wana mdomo ajabu rrahmaan.
Mwanamke wa kimanyema akiamua kukuchamba utajuta!
Jamaa kafiwa na mke wake umesikia?
Ulisahau, pia sio wachoyo
Wamanyema wengi ni wajuzi na wanasifika kwa kujengewa majumba kariakoo zamani
zamani ilikuwa ukitaka mwanamke wa kimanyema lazima uwe na pesa....na walikuwa wanahongwa majumba tu