Tabia Za Wanaume Nisizopenda

Tabia Za Wanaume Nisizopenda

ngoja niifafanue namba 9. si kwamba wanaume wanajifanya wanajua kilakitu ila wanaume WANAONGEA PALE AMBAPO KINAZUNGUMZWA KITU WANACHOKIJUA na wanasimamia wanachoamini ni sahihi.Wanaume hunyamaza kimya zinapokuja mada wasizozijua na bahati mbaya wanawake hawaangalii hili na hawalioni.

nakupa assignment,kaanzishe topic zifuatavyo kwa mmeo au bf wako uone kama atajifanya anajua

1.kama mmeo sio muhindi hebu mpelekee story za kriketi uone kama ataleta ujuaji wake
2.kama mmeo ni mpenzi pure wa soccer mletee story za basketball uone ushiriki wake
3.kama mmeo ni brazamen na story zake ni kina chris brown mchomekee story za kina bozi boziana kama atatamka neno
4.hebu anzisha mada ya diapers umwambie mmeo akuambie ipi nzuri na anazijua zipi na zipi!kama yupo shallow utaona anavyoikimbia hiyo topic

mifano ipo mingi,na wanawake ni vema wakatuelewa
 
I am not frothing my dear rather i wanted to put it clear..
Spare me if it has caught you unwittingly!!

.

you got me wrong hun. I am complimenting you for remaining composed. No offence taken.
 
ngoja niifafanue namba 9. si kwamba wanaume wanajifanya wanajua kilakitu ila wanaume WANAONGEA PALE AMBAPO KINAZUNGUMZWA KITU WANACHOKIJUA na wanasimamia wanachoamini ni sahihi.Wanaume hunyamaza kimya zinapokuja mada wasizozijua na bahati mbaya wanawake hawaangalii hili na hawalioni.

nakupa assignment,kaanzishe topic zifuatavyo kwa mmeo au bf wako uone kama atajifanya anajua

1.kama mmeo sio muhindi hebu mpelekee story za kriketi uone kama ataleta ujuaji wake
2.kama mmeo ni mpenzi pure wa soccer mletee story za basketball uone ushiriki wake
3.kama mmeo ni brazamen na story zake ni kina chris brown mchomekee story za kina bozi boziana kama atatamka neno
4.hebu anzisha mada ya diapers umwambie mmeo akuambie ipi nzuri na anazijua zipi na zipi!kama yupo shallow utaona anavyoikimbia hiyo topic

mifano ipo mingi,na wanawake ni vema wakatuelewa

nasisitiza topic hii haihusu wanaume wote. Labda lugha zimepishana. Kuna wanaume waungwana, wastaarabu and of really good character. Am sorry that some got me wrong.
 
Oh..my godness!
Surely i got you wrongly..but nothing bad either!
Just, thanks for the appreciation
One love!!

you got me wrong hun. I am complimenting you for remaining composed. No offence taken.
 
kujua kila kitu ni jadi yangu sorryyyyyy
 
Hozo tabia hata si mbaya umewasingizia

umeacha tabia zao chafu kabisa umeleta hizi general tu
 
Karucee yani nimechekaaaa mbavu sina lol.. U made my beautiful evening

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Hizi ni tabia za mmeo au kila mwanaume? Staarabika dada, andika kabisa kwamba tabia za mmeo usizozipenda.

Kwi kwiiiiiiiiiiiiii .. BTW kwa kuwa naye ni mwanaume automatically naye yumo lol.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kwi kwiiiiiiiiiiiiii .. BTW kwa kuwa naye ni mwanaume automatically naye yumo lol.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
You cant be serious! Umejuaje kama ni mwanaume? Mmmh, kama ni mwanaume basi kuna mahali patakuwa na shida katika scew zake za ubongo, maana wanaume hawapotezi muda kuanza kujadili tabia za wanaume wenzao.
 
Back
Top Bottom