Tabia Za Wanaume Nisizopenda

Tabia Za Wanaume Nisizopenda

1. Kuchokoa pua halafu kama haitoshi kukagua ulichofanikiwa kuvua. Does it look appetising? Take a bite basi usitutapishe.
2. Kurembua na kusema sssss huku unatia kidole/cotton bud kwenye masikio. Sasa tukueleweje? Jikaze mtoto wa kiume, ebo!!
3. Kushangaa shangaa huku mumejishika kiunoni.
4. Kujishika shika maeneo ya nanilii na kujikuna tena ukiwa umetulia hasa. Kama haitoshi unanyanyua nanilii na kukuna chini yake.
Rungu huua wadudu aina zote. Hata Wanaotambaa na kuruka.
5. Kuchokoa meno na kukagua ulichokitoa halafu kutema tema ptuuh ptuuh. I wish I could punch you and make you spit all your teeth!
6. Kujishikashika kifua kama unajiandaa kunyonyesha.
7. Kukagua kila kalio linalokupita. Mpaka ukiwa njiani unasimama. Tena wengine utawasikia kabisaaa wakisema aiseeee huku mkono ushazama kwenye zipu. Arrrghhh.
8. Kutafuna chakula bila discipline. Kama vile meno unayafanyia test.
9. Kujua kila kitu.
10. Kutembea huku unachomoa suruali ilopenya kwenye makalio halafu ukigeuka ukikuta mtu anakuangalia badala ya kusikitika unachekelea.
11. Kutema tema mate.
12. Male chauvinists wanawake hatupumui kisa hoja zako daily za kutuponda.

Namba tisa inamuhusu Kibonde. Vp akikuprppose?
 
Karucee umefanya tu 'generalization' kwa wanaume ili kujifurahisha!
Lakini in most cases 'mijitabia mingi uliyoisema inafanywa na wanawake'...mfano No 1, 2, 3, 4, 4(umerudia mara mbili),5, 8, 9, 10 pengine hata 11!....
 
Last edited by a moderator:
Duuuh!! Namba 6 na 9 nakuunga mkono 100%. Mimi ni mwanaume, and it is undeniable fact kwamba nionapo kalio bora lazima nishituke.
 
Hiyo ya kwanza sijaelewa vizuri.
Namba 3 ni nzuri wakati wa kufanya uchambuzi hali au kitu (situational analysis), kama bosi vile!!
Ila nimekubuka ule wimbo "kuna sifa 10 za demu", na "wachumba....(sijui wangapi vile). Angalia sana usivunje rekodi.
 
asante mungu kwa kuweka mitandao ya kijamii kwani kuna watu inawasaidia kutoa madukuduku yao ya rohoni...

kujikuna kwenye niniliu hii inasababishwa na joto la mujini..
 
Ukiona msichana mzuri kapita wewe hujashituka jua ni *******!

hii sensored language mbona inataka kule shida back to topic tena huwa wakiona hamna habari lazima apite karibu yenu mmuone vizuri wapi totoz za IFM...
 
1. Kuchokoa pua halafu kama haitoshi kukagua ulichofanikiwa kuvua. Does it look appetising? Take a bite basi usitutapishe.
2. Kurembua na kusema sssss huku unatia kidole/cotton bud kwenye masikio. Sasa tukueleweje? Jikaze mtoto wa kiume, ebo!!
3. Kushangaa shangaa huku mumejishika kiunoni.
4. Kujishika shika maeneo ya nanilii na kujikuna tena ukiwa umetulia hasa. Kama haitoshi unanyanyua nanilii na kukuna chini yake.
Rungu huua wadudu aina zote. Hata Wanaotambaa na kuruka.
5. Kuchokoa meno na kukagua ulichokitoa halafu kutema tema ptuuh ptuuh. I wish I could punch you and make you spit all your teeth!
6. Kujishikashika kifua kama unajiandaa kunyonyesha.
7. Kukagua kila kalio linalokupita. Mpaka ukiwa njiani unasimama. Tena wengine utawasikia kabisaaa wakisema aiseeee huku mkono ushazama kwenye zipu. Arrrghhh.
8. Kutafuna chakula bila discipline. Kama vile meno unayafanyia test.
9. Kujua kila kitu.
10. Kutembea huku unachomoa suruali ilopenya kwenye makalio halafu ukigeuka ukikuta mtu anakuangalia badala ya kusikitika unachekelea.
11. Kutema tema mate.
12. Male chauvinists wanawake hatupumui kisa hoja zako daily za kutuponda.
Hiyo namba saba utakuwa hauko serious. Kuna makalio mengine yapo tepetepe sana ... lazima uyatupie.
 
aaaaaah...umeniuaa numba 4,6,8 na 11 zinabooooa...umegusa penyewe..waje hapa halafu tuonee watakavyoji-justify
 
Karucee umefanya tu 'generalization' kwa wanaume ili kujifurahisha!
Lakini in most cases 'mijitabia mingi uliyoisema inafanywa na wanawake'...mfano No 1, 2, 3, 4, 4(umerudia mara mbili),5, 8, 9, 10 pengine hata 11!....

i respect your perspective Snowball and the fact that you can express yourself without foaming
 
Last edited by a moderator:
hii sensored language mbona inataka kule shida back to topic tena huwa wakiona hamna habari lazima apite karibu yenu mmuone vizuri wapi totoz za IFM...

Mmmh... Totoz za IFM ndo zinakuchanganya eeeeh...
 
I am not frothing my dear rather i wanted to put it clear..
Spare me if it has caught you unwittingly!!

.
i respect your perspective Snowball and the fact that you can express yourself without foaming
 
lazima utakuwa huna maendeleo na kama unayo basi hukutakiwa uwe nayo hayo,mbona unafuka sana
 
Back
Top Bottom