Tabia Za Wanaume Nisizopenda

Tabia Za Wanaume Nisizopenda

Acha umbea na urongo mwanangu Karucee. Kwani unawajua wanaume wote au ni kutaka sifa tu? Huwa na baba yako anafanya yote hayo? Kwanini useme wanaume wote utadhani unawajua bila kusema baadhi ya wachache unaowajua? Hujui kuwa na wanawake wanachokoa pua? Hujui kuwa na masugamami hutumia hiyo sssgusa s? Hata ungeongelea wanaume wa kijijini kwako si rahisi kuwajua wote na tabia zao. Mbona huna hata chembe ya utafiti ukiachia mbali hoja na aibu? Shame on you!
Father of all hata kama umetuzaa unapo kosea unaitaji marekebisho sio eti kwa sababu mkubwa unajua kila kitu bila shaka imekugusa na nahisi karibia sifa zote unazo alizo sema karucee haaaaaaaaaa pole yenu wanaume wenye tabia hizo ila jirekebisheni
 
Mimi sipendi vile wanavyojifuta na handkerchief makwapani halafu wanamalizia usoni......aaaghhhh I can't take it...
 
Hizi ni tabia za mmeo au kila mwanaume? Staarabika dada, andika kabisa kwamba tabia za mmeo usizozipenda.

Teh teh teh nimecheka balaa........!
Miehu wa natembea zipu wazi ila hakuisema itakuwa anaipenda hii......................!:biggrin1::biggrin1:
 
Kwi kwiiiiiiiiiiiiii .. BTW kwa kuwa naye ni mwanaume automatically naye yumo lol.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

hahaha. Clarify? Am whattt??
 
Father of all hata kama umetuzaa unapo kosea unaitaji marekebisho sio eti kwa sababu mkubwa unajua kila kitu bila shaka imekugusa na nahisi karibia sifa zote unazo alizo sema karucee haaaaaaaaaa pole yenu wanaume wenye tabia hizo ila jirekebisheni

hahahaaaaa prianka afadhali umeona.
 
Mimi sipendi vile wanavyojifuta na handkerchief makwapani halafu wanamalizia usoni......aaaghhhh I can't take it...

omg karembo. Hii sijaiona kwa kweli. Loooh?? Shame!
 
Hizi ni tabia za mmeo au kila mwanaume? Staarabika dada, andika kabisa kwamba tabia za mmeo usizozipenda.
Lukolo hukunisoma mkuu nilimaanisha mume wa mwandishi wa uzi naye anaweza kuwa katika orodha ya wanaume wenye tabia hizo.
 
Last edited by a moderator:
omg karembo. Hii sijaiona kwa kweli. Loooh?? Shame!

Shame and annoying Karucee. Sasa usiombee awe anavuja vizuri halafu ka handkerchief kadogo inavyotota basi balaa hapo bado haijapelekwa usoni....
 
1. Kuchokoa pua halafu kama haitoshi kukagua ulichofanikiwa kuvua. Does it look appetising? Take a bite basi usitutapishe.
2. Kurembua na kusema sssss huku unatia kidole/cotton bud kwenye masikio. Sasa tukueleweje? Jikaze mtoto wa kiume, ebo!!
3. Kushangaa shangaa huku mumejishika kiunoni.
4. Kujishika shika maeneo ya nanilii na kujikuna tena ukiwa umetulia hasa. Kama haitoshi unanyanyua nanilii na kukuna chini yake.
Rungu huua wadudu aina zote. Hata Wanaotambaa na kuruka.
5. Kuchokoa meno na kukagua ulichokitoa halafu kutema tema ptuuh ptuuh. I wish I could punch you and make you spit all your teeth!
6. Kujishikashika kifua kama unajiandaa kunyonyesha.
7. Kukagua kila kalio linalokupita. Mpaka ukiwa njiani unasimama. Tena wengine utawasikia kabisaaa wakisema aiseeee huku mkono ushazama kwenye zipu. Arrrghhh.
8. Kutafuna chakula bila discipline. Kama vile meno unayafanyia test.
9. Kujua kila kitu.
10. Kutembea huku unachomoa suruali ilopenya kwenye makalio halafu ukigeuka ukikuta mtu anakuangalia badala ya kusikitika unachekelea.
11. Kutema tema mate.
12. Male chauvinists wanawake hatupumui kisa hoja zako daily za kutuponda.

Tehe tehe tehe hapo namba saba umeniona mie!
 
Achilia mbali wale wanajikrimu na kujimake-up kama wanawake hadi wamesababisha bei ya vipodozi kama lotion,poda kuwa vya bei ya juu kwasbb demand imekuwa juu sana.........wakaka hebu mjirekebishe, yaan ukienda salun napo unakutana na foleni kisa na wakaka nao wanataka kutengeneza nywele.......mnaboa sana!!!!!!!zamani tulikuwa tunasukwa kwa sh 5,000 hadi 20,000 lkn baada ya wakaka kuvamia fani siku hz bei ya kusukia ni kuanzia 20,000 na kuendelea.
 
mhhh......mie wananiudhi wanaonuka soski! mtu anaingia ndani kwa ustaarabu wa kuvua viatu lakini ordor inayotoka hapo ......pyuuuu! uanahangaika pua uiwek wapi!!

na wanaonuka vinywa - hivi sijui ni kutokujua kupiga mswaki au ni nini? kama ni ugonjwa pelekeni hospitali jamanii!
 
MADEMU wa BONGO kwa kuCOPY MAJINA etii unajihita KARUCEE , uyo MKE wa M2 nchi za WENZAKO,.sasa ww TABIA ZIPI ZINAKUFARAHISHA?Tuambie
 
1. Kuchokoa pua halafu kama haitoshi kukagua ulichofanikiwa kuvua. Does it look appetising? Take a bite basi usitutapishe.
2. Kurembua na kusema sssss huku unatia kidole/cotton bud kwenye masikio. Sasa tukueleweje? Jikaze mtoto wa kiume, ebo!!
3. Kushangaa shangaa huku mumejishika kiunoni.
4. Kujishika shika maeneo ya nanilii na kujikuna tena ukiwa umetulia hasa. Kama haitoshi unanyanyua nanilii na kukuna chini yake.
Rungu huua wadudu aina zote. Hata Wanaotambaa na kuruka.
5. Kuchokoa meno na kukagua ulichokitoa halafu kutema tema ptuuh ptuuh. I wish I could punch you and make you spit all your teeth!
6. Kujishikashika kifua kama unajiandaa kunyonyesha.
7. Kukagua kila kalio linalokupita. Mpaka ukiwa njiani unasimama. Tena wengine utawasikia kabisaaa wakisema aiseeee huku mkono ushazama kwenye zipu. Arrrghhh.
8. Kutafuna chakula bila discipline. Kama vile meno unayafanyia test.
9. Kujua kila kitu.
10. Kutembea huku unachomoa suruali ilopenya kwenye makalio halafu ukigeuka ukikuta mtu anakuangalia badala ya kusikitika unachekelea.
11. Kutema tema mate.
12. Male chauvinists wanawake hatupumui kisa hoja zako daily za kutuponda.

Lo lo lololololololololol........mh.....haya bhana
 
mhhh......mie wananiudhi wanaonuka soski! mtu anaingia ndani kwa ustaarabu wa kuvua viatu lakini ordor inayotoka hapo ......pyuuuu! uanahangaika pua uiwek wapi!!

na wanaonuka vinywa - hivi sijui ni kutokujua kupiga mswaki au ni nini? kama ni ugonjwa pelekeni hospitali jamanii!
Best mwenzio nlisha ahirisha hiyo tabia ya hawa watu kuja kwangu na kujishebedua kuvua viatu. I better have my house dirty than smelling my house with aaaaghhhhhhh......
 
Watu bwana. Mtu ameudhiwa na mumewe anakuja humu jf na ku-generalize eti tabia za wanaume. Kwa nini usimkalishe mumeo na kumweleza hayo mapungufu yake.
 
Mbona hujaongezea ya kunuka kikwapa??
Embu ongezea namba 13 hiyo
aisee kuna mmoja nimepishana nae ananuka balaa kiukweli nilijibana pua nisivute pumzi mpaka nilipofika mbali ndo nikavuta pumvi
nyingine kuvaa kata k ****** yote nje mtoto wa kiume
 
aaaaaah...umeniuaa numba 4,6,8 na 11 zinabooooa...umegusa penyewe..waje hapa halafu tuonee watakavyoji-justify
 
Back
Top Bottom