Tabia Za Wanaume Nisizopenda

Tabia Za Wanaume Nisizopenda

ngoja niifafanue namba 9. si kwamba wanaume wanajifanya wanajua kilakitu ila wanaume WANAONGEA PALE AMBAPO KINAZUNGUMZWA KITU WANACHOKIJUA na wanasimamia wanachoamini ni sahihi.Wanaume hunyamaza kimya zinapokuja mada wasizozijua na bahati mbaya wanawake hawaangalii hili na hawalioni.

nakupa assignment,kaanzishe topic zifuatavyo kwa mmeo au bf wako uone kama atajifanya anajua

1.kama mmeo sio muhindi hebu mpelekee story za kriketi uone kama ataleta ujuaji wake
2.kama mmeo ni mpenzi pure wa soccer mletee story za basketball uone ushiriki wake
3.kama mmeo ni brazamen na story zake ni kina chris brown mchomekee story za kina bozi boziana kama atatamka neno
4.hebu anzisha mada ya diapers umwambie mmeo akuambie ipi nzuri na anazijua zipi na zipi!kama yupo shallow utaona anavyoikimbia hiyo topic

mifano ipo mingi,na wanawake ni vema wakatuelewa

hawajaribu hata!na wala hawataki kutuelewa kabisa aisee,nagging ni ki-nasaba chao,s labda tumlaumu mungu kwa hilo....hawajaribu kutuelewa na wala hawataki..............wanataka mara zote sisi tuwaellewe wao tu....

lakini ndio wapenzi wetu hao,wake zetu,dada zetu,mama zetu nk.tutamtupia nani sasa!
 
aaaaaah...umeniuaa numba 4,6,8 na 11 zinabooooa...umegusa penyewe..waje hapa halafu tuonee watakavyoji-justify
sasa tu-justify kitu gani wakati hayo mambo hayatuhusu? yeye badala ya kuongea na mumewe/bf huko nyumbani kwake ili aachane na hizo tabia zisizo mfurahisha, badala yake anakuja kubweka hapa, sijui sisi tumsaidiaje?
 
hiyo namba 8 kwakweli wanailo hilo tatizo, mtu anatafuna chakula hovyo huku anaongea ni kinyaa mtindo mmoja..
 
dah! jamvi linaanza kuwa kama facebook, hii mashindano ya wanawake na wanaume nn sabab? mwanaume ni superior just by the virtue of being born a man.
 
No 7 siachi hata nishikiwe AK47,ingawa hiyo ya kuingiza mkono ikulu duh sifanyi ..........,mtu huyo sasa atakuwa mgonjwa.Na nikiwa na mama watoto,kwa heshima yake ntajibaraguza tu kuponda,ili niendelee kulitazama!
 
1. Kuchokoa pua halafu kama haitoshi kukagua ulichofanikiwa kuvua. Does it look appetising? Take a bite basi usitutapishe.
2. Kurembua na kusema sssss huku unatia kidole/cotton bud kwenye masikio. Sasa tukueleweje? Jikaze mtoto wa kiume, ebo!!
3. Kushangaa shangaa huku mumejishika kiunoni.
4. Kujishika shika maeneo ya nanilii na kujikuna tena ukiwa umetulia hasa. Kama haitoshi unanyanyua nanilii na kukuna chini yake.
Rungu huua wadudu aina zote. Hata Wanaotambaa na kuruka.
5. Kuchokoa meno na kukagua ulichokitoa halafu kutema tema ptuuh ptuuh. I wish I could punch you and make you spit all your teeth!
6. Kujishikashika kifua kama unajiandaa kunyonyesha.
7. Kukagua kila kalio linalokupita. Mpaka ukiwa njiani unasimama. Tena wengine utawasikia kabisaaa wakisema aiseeee huku mkono ushazama kwenye zipu. Arrrghhh.
8. Kutafuna chakula bila discipline. Kama vile meno unayafanyia test.
9. Kujua kila kitu.
10. Kutembea huku unachomoa suruali ilopenya kwenye makalio halafu ukigeuka ukikuta mtu anakuangalia badala ya kusikitika unachekelea.
11. Kutema tema mate.
12. Male chauvinists wanawake hatupumui kisa hoja zako daily za kutuponda.

Au bwanako ndo ana tabia kama hizi?
 
una hasir san inaonyesha

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
1. Kuchokoa pua halafu kama haitoshi kukagua ulichofanikiwa kuvua. Does it look appetising? Take a bite basi usitutapishe.
2. Kurembua na kusema sssss huku unatia kidole/cotton bud kwenye masikio. Sasa tukueleweje? Jikaze mtoto wa kiume, ebo!!
3. Kushangaa shangaa huku mumejishika kiunoni.
4. Kujishika shika maeneo ya nanilii na kujikuna tena ukiwa umetulia hasa. Kama haitoshi unanyanyua nanilii na kukuna chini yake.
Rungu huua wadudu aina zote. Hata Wanaotambaa na kuruka.
5. Kuchokoa meno na kukagua ulichokitoa halafu kutema tema ptuuh ptuuh. I wish I could punch you and make you spit all your teeth!
6. Kujishikashika kifua kama unajiandaa kunyonyesha.
7. Kukagua kila kalio linalokupita. Mpaka ukiwa njiani unasimama. Tena wengine utawasikia kabisaaa wakisema aiseeee huku mkono ushazama kwenye zipu. Arrrghhh.
8. Kutafuna chakula bila discipline. Kama vile meno unayafanyia test.
9. Kujua kila kitu.
10. Kutembea huku unachomoa suruali ilopenya kwenye makalio halafu ukigeuka ukikuta mtu anakuangalia badala ya kusikitika unachekelea.
11. Kutema tema mate.
12. Male chauvinists wanawake hatupumui kisa hoja zako daily za kutuponda.
Mbona baadhi ya mambo uliyoyaandika wanawake huyafanya sana...
 
Back
Top Bottom