Tabia za wanasheria wa kike ziko vipi?

Tabia za wanasheria wa kike ziko vipi?

Hahahah chomeka mbele bana kwa kuzingatia kifungu 9b) sheria ya kiboga "konki konki ni nyara ya serikali" hivyo usivunje utaratibu wa katiba pls
 
HULKA. Ni kwa asilimia chache sana kazi ya mtu hubadilisha hulka yake. Kama ana hulka ya kutoheshimu watu hata awe mfagiaji hutoheshimika bro. So usije danganyika na kazi ya mtu hao tunaishi nao, tunakula nao na sijawahi ona tofauti.

If she is smart, loyal and key to your heart. Marry her.
 
Back
Top Bottom