Hao ni walemavu wametengwa na dunia kwenye vitu vingi sana, kuendesha vyombo vya moto, gitaa nk
Haiti wakushoto ni laana
Wakiwa wanalia jicho la kushoto pekee ndio hutoa machozi...
Hawa jamaa wanaoandikia kushoto wengi wao ni BRIGHT sana yaani akifanya kitu kama ni SHULE/BIASHARA/MPIRA ni balaa.
Mwanangu anaandika kushoto,ni kichwa balaa.
HAta lOWasa nimEsiKia KwanZia mweZi ujao anaanza MazoeZi yA kuaNdiKia kushoTo.ilI aOnGezE ViGezO Vya KuPaTa UraIsi.
Wakiwa wanalia jicho la kushoto pekee ndio hutoa machozi...
Kweli hata JF tunakutambuwa....mkuu...Mimi mwenyewe left na class wananitambua
kwenye biblia left hand walikuwa na shabaha sana lakini hata leo na pia mguu shoto wengi wao wanakuwa na bahat ya kufunga bao nyingi wakiwa washambuliaji
Wakiwa wanalia jicho la kushoto pekee ndio hutoa machozi...
Hivi ni lazima mtu anayeandikia mkono wa kushoto kutumia mguu wa kushoto kwenye soka?
Some Of Your Favorite Celebrities Are Lefties!
Tom Cruise, Whoopi Goldberg, Paul McCartney, Oprah Winfrey, Justin Bieber, Celine Dion, Jennifer Lawrence, Brad Pitt, and Angelina Jolie all sport dominant left hands. Many deceased celebrities, like Marilyn Monroe, Kurt Cobain, and Jimi Hendrix were left-handed too. Maybe being left handed is the secret to success!
Obama ni mmoja wao