Mustaphagentleman
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 3,953
- 3,032
Akisema sio type Yangu we usijal kuforce akupende Mimi sipendagi kulazimisha coz najiamin wapo wanawake ntawapata tuu kila mwanamke ana mwanaume ampendae
Mwe mdomo huumba, ukisema ubakishe usimalize yote.kuna kabnt kalimgeuka jamaang kwenye hatua za mwisho za kuoana, kuna jamaa n m2mish alkuja lkzo akakadanganya anaondoka nako lizkzo ikiisha, kakaanza kubwambia jamaa nmepata mwanaume wa ndoto yang, type yang na saiz yang, ndoto yangu ilkua n kuolewa na msom ambae kaajiliwa tayar we hata form six hujafka na ulifel form 4 ucje nlitea mitoto icyo na akil. kakambwaga jamaa kma mchele, uyo type yake akakagegeda wee likizo yote ilpoisha akasepa bila kuaga, kufatilia jamaa anafamilia yake uko alko, et kanarud kwa jamaa oho nsamehe n shetan tu alnpitia. kanatuma watu wazma na wazee wa kanisa wakamlainishe jamaa. jamaa ndo kwanza kashakasahau anafanya yake. polen mabnt najua mnapata shda sana, lakn msimamo n kitu muhm ktk mahusiano
utafanyaje mkuu tupe hint basiMe cjuh nina mkosi mbona sijawah ambiwa hvo..... Na ninataman kweli niambiwe hivo ili nimprovie kwamba kweli mimi sio wa taipu yake
Simply namwaga pesa pale kwa watu kuonesha kweli me co taipu yake...... Na kama cna ela naanza kupiga kazi kwa bidii by any means nipate hela nije nim provie kwamba wen u said i ain't yoh type dic z wat u meant.. AM NOT YOUR TYPEutafanyaje mkuu tupe hint basi
Duh!Umenigusa...kuna kabinti kafupiiii nikakatupia nafaka za mahindi kakaanza ooh mm napenda wanaume warefu...sa nikimtizama yy mfupi nkamuuliza...kwa hyo mm mfupi?...kaanza ooh ww siyo mrefu wala siyo mfupi...sikumuelewa nkamfuta pale pale!
Inafurahisha story nzuri[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]kuna kabnt kalimgeuka jamaang kwenye hatua za mwisho za kuoana, kuna jamaa n m2mish alkuja lkzo akakadanganya anaondoka nako lizkzo ikiisha, kakaanza kubwambia jamaa nmepata mwanaume wa ndoto yang, type yang na saiz yang, ndoto yangu ilkua n kuolewa na msom ambae kaajiliwa tayar we hata form six hujafka na ulifel form 4 ucje nlitea mitoto icyo na akil. kakambwaga jamaa kma mchele, uyo type yake akakagegeda wee likizo yote ilpoisha akasepa bila kuaga, kufatilia jamaa anafamilia yake uko alko, et kanarud kwa jamaa oho nsamehe n shetan tu alnpitia. kanatuma watu wazma na wazee wa kanisa wakamlainishe jamaa. jamaa ndo kwanza kashakasahau anafanya yake. polen mabnt najua mnapata shda sana, lakn msimamo n kitu muhm ktk mahusiano