Tabia za wadada kusema wewe sio wa type yangu huwatokea puani

Tabia za wadada kusema wewe sio wa type yangu huwatokea puani

Utakuta mkaka wa watu anakufuata ana nia nzuri akuoe ila unampandisha unamshusha mwishoni unaanza kusema wewe sio saizi yangu unangoja wa size yako anakuja kukukojolea tu hakuoi, unapoona umri unakutupa mkono unaanza kwenda kanisani kukesha upate Mme, hapa mchawi ni wewe mwenyewe, punguzeni nyodo muda nwingine
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] makavu laivu
 
kuna kabnt kalimgeuka jamaang kwenye hatua za mwisho za kuoana, kuna jamaa n m2mish alkuja lkzo akakadanganya anaondoka nako lizkzo ikiisha, kakaanza kubwambia jamaa nmepata mwanaume wa ndoto yang, type yang na saiz yang, ndoto yangu ilkua n kuolewa na msom ambae kaajiliwa tayar we hata form six hujafka na ulifel form 4 ucje nlitea mitoto icyo na akil. kakambwaga jamaa kma mchele, uyo type yake akakagegeda wee likizo yote ilpoisha akasepa bila kuaga, kufatilia jamaa anafamilia yake uko alko, et kanarud kwa jamaa oho nsamehe n shetan tu alnpitia. kanatuma watu wazma na wazee wa kanisa wakamlainishe jamaa. jamaa ndo kwanza kashakasahau anafanya yake. polen mabnt najua mnapata shda sana, lakn msimamo n kitu muhm ktk mahusiano
 
Kwahiyo we unataka mwanaume nwenye pesa tayari utaishia kuumia tu...kila kwenye mafanikio ya mwanaume nyuma kuna mwanamke so inabidi uanzenae kwenye 0_100
Hizo formula za kizamani.niende za zero wakati wa 50 yupo? Khaaa kama sio uchuro ni nin
 
[QUOTE="ukhuty, post: 18835165, member: walik]Unikome punguani wew wanijua mim na hayo ndo majibu saizi yako mfyiuuuuuuuuuuu[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] hela huna kwa nin usiambiwe sio type yako [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57][/QUOTE]
Kwanza elewa haijantokea mm hao wajinga walikua wasumbufu kipindi sina kazi saivi kuna wenzako nimewapanga kama 10 hvi
 
Hao dawa yao ni kuwapiga mimba na kuwatelekeza tu
 
Umenigusa...kuna kabinti kafupiiii nikakatupia nafaka za mahindi kakaanza ooh mm napenda wanaume warefu...sa nikimtizama yy mfupi nkamuuliza...kwa hyo mm mfupi?...kaanza ooh ww siyo mrefu wala siyo mfupi...sikumuelewa nkamfuta pale pale!
teh. . . Teh . . . Eti ukakatupia nafaka za mahindi! Mkuu nimependa lugha yako ya picha!
 
Kwa hili nawatetea wadada,,,haiwezekani amkubali mtu ambaye nafs yake haijaridhia ..mbona hata sisi tunafanya selection? Iweje wao wakubali tu hata kama sio wa type yake
 
Kama sio type yake asiseme?

We mbona umeacha wadada wote hao umekuja kumtokea yeye...

Ndoa ni mpango wa Mungu
 
Sawa tumesikia, ila pia na nyie mue mnakubaliana na matokeo,mbona na nyie hua mna vigezo vyenu eeh mara mwenye boobs kubwa mara dimpoz...same applies to sisi...same applies kwa kila binadamu...kila binadamu ana vigezo vyake...sema hua kuna njia nzuri ya kumjibu mtu kama humtaki sio kusema tu wewe sio type yangu...
 
UMESEMA SAHIHI MPENDWA......TATIZO WENGINE WANAWAAMBIA SIO SAIZI YAO KWA KUWASHUSHUA, KISA KAMPATA MWENYE NAZO......MWENYENAZO AKISEPA ANAMRUDIA YULEYULE ALOMSEMA SIO SAIZI YAKE NA KUANZA OOOO, ALIKUWA NI SHETANI TUU..
 
Kwa hili nawatetea wadada,,,haiwezekanhambubali mtu ambaye nafs yake haijaridhia ..mbona hata sisi tunafanya selection? Iweje wao wakubali tu hata kama sio wa type yake
Wewe hujaelewa mada yangu, hatukatai wao kuchagua ila kwa nini wakiona badae wa kuwaoa hamna wanaanza kutapatapa na kumtafuta mchawi hadi kufikia kusema yeyote tu atakayetaka kunuoa, huo si ushenzi
 
Jaman naomben ushaur mchhumba wangu kanitumia msg akisema anatongozwa na mfanyakaz mwezangu mi niko masomon leo mwez wa nne but sijamjibu chochote kuhusiana na hilo pia ametukanwa sana na mke wa jamaa sasa mazingira hayo nielewe kweli ametembea nae au anasingiziwa tu na nimjibuje ili niendelee kujua kinachoendelea
 
Utakuta mkaka wa watu anakufuata ana nia nzuri akuoe ila unampandisha unamshusha mwishoni unaanza kusema wewe sio saizi yangu unangoja wa size yako anakuja kukukojolea tu hakuoi, unapoona umri unakutupa mkono unaanza kwenda kanisani kukesha upate Mme, hapa mchawi ni wewe mwenyewe, punguzeni nyodo muda nwingine
Napenda mtu mkweli kuliko yule anayejificha uhalisia wake kwasababu tu ya ndoa
Lakini pia wanaokataliwa wengi na kujibiwa nyodo ni wale wakurupukaji...inakupasa kusoma mchezo kwanza kabla hujaanza mashambulizi
 
Tehe tehe tehe tunamaliza Mwaka vizuri sio kwa ma thread ya wadada haya
 
Jaman naomben ushaur mchhumba wangu kanitumia msg akisema anatongozwa na mfanyakaz mwezangu mi niko masomon leo mwez wa nne but sijamjibu chochote kuhusiana na hilo pia ametukanwa sana na mke wa jamaa sasa mazingira hayo nielewe kweli ametembea nae au anasingiziwa tu na nimjibuje ili niendelee kujua kinachoendelea
Kwahiyo kila mwanaume anayemtongoza huwa anakuambia au ni huyo kamtongoza?
Mwambie aache ujinga awe na msimamo sasa mitongozo yote atakuwa anareport kwako?
 
Labda kauli mtu anayotumia na huko kukupandisha na kukushusha ndiyo kubaya.Ukija kuhusu kutokukubali ni sawa...si kwa sababu haujaolewa basi kila mwanaume unasema ndyo...Kila mtu ana vigezo vyake.
 
Kutongozwa kwa mwanamke ni kawaida ila kukubali au kukataa ni uamuzi wake, mdada anavyokujibu inategemea wewe umeendaje.
Ukinijia kwa ustaarabu kwa nini nikujibu vibayaaa, lakini kuna wanaume bwana akikutokea unaweza juta kutoka kwenu hiyo siku.
Kuhusu kuja kukutafuta baadaee ukishafanikiwa kwa kweli sijui kama ni kweli au mnawasingizia maana sidhani kama mtu timamu anaweza fanya hivyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom