Ya kwangu ina double bluetooth,usicheke!!najitumia content mwenyewe,pili,lens ya camera ndiyo tochi pia,kuna saa nikiizima inaandika system failed na inagoma kuzima,betri unaitoa kwenye chaji baada ya masaa yasiyopungua 12 then inaandika charge low,inaweza ikajizima na kujiwasha yenyewe ikiwa full charge,yani ina mambo kibao yasiyoeleweka,sio uongo inanichosha kabisa.