Tabia za kinamama zinazoniudhi

MAWIGI AISEEEEEEE...SIYAPENDI KABISA
 
Je, ni tabia gani ya kike inayokukera na kukufanya uwaone wanawake kama mazombie au misukule?

Mama tpaul njoo huku JF umuone mwanao anakutusi
 
Daaa jamani hii kali.
 
Sijui wamekula maharage ya wapi hawa kinamama
 
Kuanzia kujicream yaani mwanamke anakuwa kama kampuni ya cocacola.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Hujiamini lazima
kweli kabisa mkuu...wanawake wasiojiamini ndio hushinda siku nzima wakijipaka mikorogo na mwisho wa siku kufanana na vinyago vya mpepure!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…