Tabia za kinamama zinazoniudhi

=>kucha ndefu, yaa na zinavokua zimepinda mpaka nakumbuka move za mazombie
=>kuna virangi wanapaka juu ya macho katikati ya nyusi na kope, nakereka mpaka naacha kumwangalia
nyusi bandia, nikimwangalia =>mwanamke mwenye kope bandia nahisi kulengwa na machozi
=>high hills. nachukia hizo vitu sana
=>rangi kwenye nywele, sasa mbaya zaidi aweke tofauti na black, nahisi kuumwa kichwa. mf. wolper kipindi flani na kale ka-pengo ka pembeni khaa taabu kweli kweli
=>wigi, sipendi kabisa
=>mwanamke mwenye punk, aroo hata awe mzuri vipi hanivutii.
=>mwanamke asweti mpaka msitari wa jasho uonekane kwapani. hapa huwa nakwepa napitaga mbali.
 
Acha kuwaponda wapo wanaowapenda hivyo hivyo
 
Asa kama unayajua si uyaseme mwaya?
 
Kutumia sauti ya juu hasahasa kupiyia simu za mikononi wanapoongea mambo yao ya ndani, kifamilia, ugomvi na unafiki wowote katika mikusanyiko ya watu wengi. Mf. Ndani ya Daladala, barabarani, kwenye sherehe n.k
Hasa wale wanawake shamkupe wa kiswahili. Kumbe wanatukera wengi? Nilidhani ni mm mwenyewe.
 
Du mkuu umeua kabisa...subiri wenyewe waje kujitetea. Hahahahaha!
 
Ni sheeeeeeeeda! Umeongea ukweli kabisa mkuu. Cha ajabu kuna baadhi ya mijitu itakubishia.
 
Wengine wamejichubuaaaa hadi mishipa ya damu naona nje nje.. ssshiiiiihh.., hadi ngozi inatisha sana kama shetani, kinyaaa, macho kama nyau, mavipodizi uchafu tupu, sasa kyuma na mkyndvni kweusiiiiiiiiiiiii kama mkaa vile.. usoni mweupeeeeee kwa kujichubuaaaaa ngozi kama kiti moto mweupe aliyechunwa... ptuuuuuhh
 
Mwanamke kujisafisha pua mbele za watu tena bila kitambaa, hiyo na kwa kina baba pia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…