Ukijiamini ni raha sana. Kila mara huwa nasema niko black na wala sina mpango wa kutumia cream. Rangi yangu hii nyeusi naiona ya thamani sana yaan na ninajidai sana.Kote huko nikutokujiamini na kutokujikubali tu ukijiamin wala huna mpango na hayo mazagazaga yao
Aisee mwanamke ghafi ni mtamu, embu niambie wewe ni ghafi au umeshajisindikaKote huko nikutokujiamini na kutokujikubali tu ukijiamin wala huna mpango na hayo mazagazaga yao
Umeona eeh? Wanaudhi sana I see.Mwanamke anayetembea na toothpick mdomoni hata salamu simpi.
Mwanamke aliyesukia weaving linamuwasha kwa uchafu badala ya kulitoa anajipiga-piga kichwa kujikuna kila baada ya dakika 2.
Mwanamke wa aina hii akinisemesha simjibu kitu mpaka akatoe hizo nywele za maiti.
Kweli kabisa mkuu....raha jipe wenyewe!Wangu nilimkataza kujikream, kucha ndefu , mikope bandia ,Ila Nywele kila wiki asuke maana Napenda mwanamke mwenye kusuka kila msuko nalipa hela maana b4 ni nilikuwa msusi wa nywele ,,siku zingine nakomaa mwenyewe huku tunacheza mpira nikiwa nasubiri round ,Huku nasuka,,Kwa kweli Napenda urembo ,, kucha napaka mwenyewe ,
hah hah ahhKitendo cha yeye kuwa mwanamke hyo ni kero tosha kabisa kwangu
Juzi ulishauri tujaribu kuwaegesha mangapulila sababu nimeijua sasa hivi.Kitendo cha yeye kuwa mwanamke hyo ni kero tosha kabisa kwangu
Hahahahahha nakuunga mkono aseeeeKitendo cha yeye kuwa mwanamke hyo ni kero tosha kabisa kwangu