Tabia za kike kwa baadhi ya wanaume - dalili

Hahahaha....same thing.Mtu kutumia ID ya kiume hakumpi urijali asionao wala anaetumia ya kike haimpunguzii kama anao!!
kha... na weye sijui ubishi umetoa wapi, kaa mbali na wameru sweetie
 
NDIO anaweza sana tu!!


hapo naona umesema ili tu ushinde na usimamie kunikatalia mfano mzuri siamini kabisa kua unaweza rusha uzi kuhusiana na mapishi yalo simama

kama yale alafu useme unajifanyisha lakini sababu sorce ni wewe mwenyewe basi sina jinsi na kuanza kukushusha respect ya vitu vyoote ju yako.
 
Haahahah...Wameru ndugu zangu bana!!BTW ubishi unalipa ujue...lolz
kaone kwanza

BTW, wewe ni he au she??

Ila ujue nimewagusa kweli leo??? wametulia wanapita kwa mbaliiiii

kuna mmoja tena ni mkongew kweli
 
hapo naona umesema ili tu ushinde na usimamie kunikatalia mfano mzuri siamini kabisa kua unaweza rusha uzi kuhusiana na mapishi yalo simama kama yale alafu useme unajifanyisha lakini sababu sorce ni wewe mwenyewe basi sina jinsi na kuanza kukushusha respect ya vitu vyoote ju yako.
Naaah personally siwezi ibuka na kitu nisichokijua nijifanye nakijua alafu nikiulizwa maswali nianze kusearch google au kuliza watu!‘Ila ukweli ni kwamba kuna source nyingi sana za info now days....mtu anaweza sikia watu wanaongelea kitu hakijui wala haangaiki kujifunza bali anacopy n paste aliyoyasikia na kupeleka sehemu nyingine kama vile ni mawazo yake.Inatokea walasio kidogo....na ukitaka kumjua mtu wa aina hii kua na mashaka na anachosema uone kama ataweza kutetea mpaka mwisho.Atajitahidi kidogo ila atafika mahali aseme “haya bwana“ ...“mi sijui“au “yameisha“.
 
Naskia hata ile ya wanaume wazima kuwa na ID za kike hapa JF ni very strong indication kwamba jamaa ana chembechembe nyingiza kike na zikipata trigger kama vile exposure to mashoga au mabasha nk yaweza kumgeuza kabisa mtu wa namna hiyo

Ni sawa na ile ya watoto wadogo wa kiume waliokua wanapenda sana kusuka, kupaka rangi ya kucha, kuvaa magauni na urembo.... nimesoma sehemu kwamba viashiria hivi hutumika sana huko majuu kuanza kuwatambua watu wenye potential ya hiyo orientation and to recruit them especially during high schools, na ndio maana wengi huanza na magelofriends kabla ya kubadili timu

Yawezekana kabisa watu hawajijui, lakini kindanindani wanavutiwa kuwa jinsia mbadala

nawakilisha and no harm intended

I see mi inaniuma sana nimetongoza nikajua demu kumbe janaume dah hizi dalili za ushoga kabisa
 
kaone kwanzaBTW, wewe ni he au she??Ila ujue nimewagusa kweli leo??? wametulia wanapita kwa mbaliiiiikuna mmoja tena ni mkongew kweli
Hhahaha mi ni UNKNOWN...lolzz!!Ehehehhe we MTM mchokozi kweli...embu mwachewenzio!
 
I see mi inaniuma sana nimetongoza nikajua demu kumbe janaume dah hizi dalili za ushoga kabisa
pole sana fidel, lakini inabidi kupunguza kutongoza mizimu mkuu... hakuna kutongoza hadi uone product, unaweza ukaingia mkenge halafu ukatoka bomba watu wasikuelewe

Kuna jamaa yangu alilipia nauli mtoto toka arusha hadi dar jamaa kufika ubungo anasikilizia sauti kuona mtu akazima na simu hdi kubadili laini

sijui nini kilitokea baada ya hapo
 
dogo... sema wapunguze kutongozahakuna kununua mbuzi guniani aisee.... lazma kucheki kwanza pakeji
Hivi bro unajua mi mkubwa wako ehhhh?!Shauri lako we endelea tu kuniita dogo!!lolzHahahaha nadhani hamna tatizo kama mtu anatongoza kwa akili ila sio hovyo hovyo kwa siku anatupa ndoano kumi hata hana muda wa kuomba kusikia sauti angalau ahakikishe ni ya kike!!
 
Hehehehehe...unaliPM limjamaa unalialika mje mkahamishane meza ukifikiria ni mdume mwenzio kumbe mbuchuchu.......khaaa!
aiseeee...........:A S 114:

ndio maana ni muhimu kuona product kwanza.... mengine magubegube
 
Naaah personally siwezi ibuka na kitu nisichokijua nijifanye nakijua alafu nikiulizwa maswali nianze kusearch google au kuliza watu!‘Ila ukweli ni kwamba kuna source nyingi sana za info now days....mtu anaweza sikia watu wanaongelea kitu hakijui wala haangaiki kujifunza bali anacopy n paste aliyoyasikia na kupeleka sehemu nyingine kama vile ni mawazo yake.Inatokea walasio kidogo....na ukitaka kumjua mtu wa aina hii kua na mashaka na anachosema uone kama ataweza kutetea mpaka mwisho.Atajitahidi kidogo ila atafika mahali aseme "haya bwana" ..."mi sijui"au "yameisha".


mtu anewakilisha kwa research tofauti na ane jua hivo unakubali nilikusoma sawa na kwamba mtu hata ujifanye namna gani lazima elements za

ukweli zitachomoza. ningetoa mfano wa memba hapa jamvini lakini naona nitapigwa ban ila kwa ufupi huwezi sema mtu atarusha uzi wa ngono kila

siku alafu eti hapendi ngono anajifanyisha.
 
Back
Top Bottom