Tabia za kike kwa baadhi ya wanaume - dalili

Mmmh hapa kwa kutumia ID ya kike naomba kupinga kidooooogo!Yote inategemea mhusika anafanya vile kwa madhumuni gani...wengine wanapenda kuvaa ule uhusika hapa kwasababu mtaani hawawezi na wanapenda na wengine wanataka tu kuwachechea TONGOZA TONGOZA wa humu akili.Kwahiyo binafsi naamini kwamba tatizo halipo kwenye ID ya jinsia mtu anayotumia bali DHUMUNI la yeye kufanya hivyo!!

ile kitendo tu cha kujiweka nafasi ya mwanamke kimawazo na matendo ni dalili tosha mwanaume wa kweli hataki hata kufikiria.
 
Kwa kauli hii nabaki na IDs zangu za kike.
 
ile kitendo tu cha kujiweka nafasi ya mwanamke kimawazo na matendo ni dalili tosha mwanaume wa kweli hataki hata kufikiria.
Maigizo sio uhalisia!!Mimi nikija na ID ntakayoitumia kujifanya mjuaji haitonifanya mimi mjuaji in reality...au nikijifanya kilaza...mpole..mkorofi..mchokozi kama sivyo nilivyo nje ya JF yote hayo yatabaki kwenye ID tu na sio zaidi!
 
Mmmh hapa kwa kutumia ID ya kike naomba kupinga kidooooogo!Yote inategemea mhusika anafanya vile kwa madhumuni gani...wengine wanapenda kuvaa ule uhusika hapa kwasababu mtaani hawawezi na wanapenda na wengine wanataka tu kuwachechea TONGOZA TONGOZA wa humu akili.Kwahiyo binafsi naamini kwamba tatizo halipo kwenye ID ya jinsia mtu anayotumia bali DHUMUNI la yeye kufanya hivyo!!
kweli kabisa Lizzy

Actually i was reading something about Joshua Nkomo and Cannon Banana wa zimbabwe (if you had a chance to be there when they were leaders of the good zimbabwe... there was something about Nkomo escaping in a woman dress and Banana's role on that move

There is a huge correlation when it comes even to ID choices and one would always justify how he/she came up with ID, it is more psychological that most of us think

Nadhani kuna kitabu fulani cha Deepak Chopra kinaeleza vizuri na jamaa ni resource nzuri ya character, hata 'watu wetu' hutumia baadhi ya mbinu kama hizo

It may be more subconscious but there is a truth in it
 
Maigizo sio uhalisia!!Mimi nikija na ID ntakayoitumia kujifanya mjuaji haitonifanya mimi mjuaji in reality...au nikijifanya kilaza...mpole..mkorofi..mchokozi kama sivyo nilivyo nje ya JF yote hayo yatabaki kwenye ID tu na sio zaidi!
Lizzy

do you know kwamba hata mwanaume anayeigiza kama demu kuwa na element zaidi za ile nafasi anayoact? unaweza imagine Schwaznegger na Justin Bieber yupi atafit kwenye nafasi ya mwanamke kama wakiigiza?
 
Maigizo sio uhalisia!!Mimi nikija na ID ntakayoitumia kujifanya mjuaji haitonifanya mimi mjuaji in reality...au nikijifanya kilaza...mpole..mkorofi..mchokozi kama sivyo nilivyo nje ya JF yote hayo yatabaki kwenye ID tu na sio zaidi!

aisee mimi nastick kua mwanaume wa kweli hawezi kuva huo uhalisia labda kwa mda mfupi lakini hio id ina miaka mi 3 unafikiri bado hana hizo

chembe? na hata hivyo tabia tunazo portray jf zina uchembe wa the real us.
 
kweli kabisa LizzyActually i was reading something about Joshua Nkomo and Cannon Banana wa zimbabwe (if you had a chance to be there when they were leaders of the good zimbabwe... there was something about Nkomo escaping in a woman dress and Banana's role on that moveThere is a huge correlation when it comes even to ID choices and one would always justify how he/she came up with ID, it is more psychological that most of us thinkNadhani kuna kitabu fulani cha Deepak Chopra kinaeleza vizuri na jamaa ni resource nzuri ya character, hata 'watu wetu' hutumia baadhi ya mbinu kama hizoIt may be more subconscious but there is a truth in it
See it‘s all about the WHY and not the WHAT!Ukitumia hii kanuni utakwepa kumake false assumption about alot of things kwasababu unakua na sababu ya kufikiria/amua vile ulivyoamua.Mhh sijawasoma hao watu...labda ntakuomba uniazime kitabu chako hicho niongeze maarifa!!
 
Lizzydo you know kwamba hata mwanaume anayeigiza kama demu kuwa na element zaidi za ile nafasi anayoact? unaweza imagine Schwaznegger na Justin Bieber yupi atafit kwenye nafasi ya mwanamke kama wakiigiza?
Hahhaha...now thats unfair MTM!Hapo kigezo kikuu kitakachowatofautisha ni umri na mwili...otherwise hata Arnold akitaka kumdanganya mtu yeye ni mwanamke kwenye mtandao au simu bila kuonekana anaweza akafanikiwa zaidi kuliko Justin!
 
check basi seal na neeyo
 
  • Thanks
Reactions: Iza
aisee mimi nastick kua mwanaume wa kweli hawezi kuva huo uhalisia labda kwa mda mfupi lakini hio id ina miaka mi 3 unafikiri bado hana hizo chembe? na hata hivyo tabia tunazo portray jf zina uchembe wa the real us.
Haaha!Well inawezekana ikawa ndivyo au sivyo...wahusika peke yao ndo wenye uhakika na hili.Hapo uliposema persona za hapa zina chembechembe za tulivyo katika uhalisia wetu nakwambia USIDANGANYIKE.Na nnasema hili nikiwa na uhakika kabisa....wengine ndio na wengine ni the total opposote of what you see here!!
 
cna hata cha kuongezea,

Hivi GENES huwa zinamahusiano ya moja kwa moja na MAVAZI,ID???

Napita tu naelekea siasa avanue.
 
Duhhhh..
Kwa hiyo baba ASPRIN
Anatongoza wajukuu wengine
akidhani ni wasichana kumbe imekula
kwake hahahahahalohh

Pole sana babu
 
Haaha!Well inawezekana ikawa ndivyo au sivyo...wahusika peke yao ndo wenye uhakika na hili.Hapo uliposema persona za hapa zina chembechembe za tulivyo katika uhalisia wetu nakwambia USIDANGANYIKE.Na nnasema hili nikiwa na uhakika kabisa....wengine ndio na wengine ni the total opposote of what you see here!!

swali kwako kama mtu ni mfinyu wa mawazo anaweza fake hapa jf kwa kua mfikra?
 
Back
Top Bottom