Daladala la bukoba jamani unajaza mifugo watu na mazao humo ndan bado mizigo ya dagaa harufu yake humo inabidi utoe uso nje
Bado mchomoko taxi moja mnajazana watu kumi
Pande hizi maharage yanapatikana kwa wingi sasa ni kawaida mtu kujipigilia maharage na chai ahsubuhi.Tatizo linaanza pale mtu anapoutimia uhuru wake kwa kujamba ndani ya daladala.Na ukumbuke hajambi mmoja.Mpaka tunapofika tunakoenda tunakuwa kama tumelewalewa