Tabia za ajuza

Tabia za ajuza

Tabia za Ajuza sometimes
1)kupoteza kumbukumbu
2)Kutofanya kazi kwa ufanisi
3) kutokufuatilia mambo ya msingi,kutegemea watu wengine.
4)kukosa nguvu na Madini kupungua
5)Kukosa Mvuto.
Ccm mna miaka mingi huenda umri unafanya mambo kuyumba ni HEKIMA MJITAFAKARI KUJI UPDATE ,KUJIDANLOAD UPYA.
Kweli ccm vimejaa viajuza ndiyo maana mambo hayakwendi yamegomaaa gomiii!
 
FACT...huyu kijana ana AKILI TIMAMU kitu ambacho kwa hali ilivyo ukiwa na akili timamu tu UNAONEKANA hufai au ADUI au threat na unaweza ukawa target na magege ya wahuni kwa KOSA LA KUWA NA AKILI TUMAMU

wenye uhuru ni machawa tu,kama yule she mwaipopo..mtu yeyote asiyekuwa chawa ana onekana kuwa ni ADUI.
 

Attachments

  • Screenshot_20260805-121838.jpg
    Screenshot_20260805-121838.jpg
    74 KB · Views: 3
  • Screenshot_20260805-120733.jpg
    Screenshot_20260805-120733.jpg
    127.9 KB · Views: 1
Back
Top Bottom