Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,458
- 5,169
Labda nipitie profile yako kwanza ndio niweze kujibu.
Ndugu zanguni, je hiki ambacho huwa naandika ndani ya jamvi letu tukufu la JF ndio tabia yangu?
Je kuna uhusiano gani kati ya mawazo yangu, uwakilishi wangu na tabia yangu?
Naomba kila mtu ajiulize maswali haya
usisahau kuipitia na ya kwako kisha utumwagie majibu
humu ndani watu tuko feki kama kwenye jumba la big braza
Hii imenifanya nitafakari sana!