Tabia yako ndo wasifu wako katika jamii

yuzazifu

JF-Expert Member
Oct 6, 2018
5,109
9,407
Salaam,

Wakuu tabia yako ndo wasifu wako katika jamii, ukiwa na tabia njema upatwapo na jambo jamii itakutreat vyema kulingana na wasifu wako bt ukiwa na tabia mbaya jamii itakutreat vibaya kulingana na wasifu wako kijamii.

miezi 2 ilopita nilishuhudia ajali ya pikipiki ya kijana mmoja bt kila aliekuja kwenye tukio alisema "kumbe ndo huyu mshenzi", baada ya kuulizia wenyeji wakadai ni mdokozi, nilichojifunza pale tabia yako ndo wasifu wako kijamii na ndo itaamua jamii ikutreat vipi upatwapo na tatizo.
 
Back
Top Bottom