Tabia yako ndiyo inayokupa thamani

Tabia yako ndiyo inayokupa thamani

Duh pole ningekuwa mnafiki ningeishia hapo,, pole nadhan hata wanafiki huwajui unawasikia tu.

Me nadhan utani kwa marafiki ni sehem ya maisha kumbe kwako ni janga frsh mkuu.

Sijasema wew mkuu nimesema uyo manzi woiii,..
 
Tabia mbaya ni Kama hizi.

...kujisifia kuwa na uwezo flan ilihal huna.

....kusema unamiliki vitu ghali wakati hata baiskel huna.

Mfano.

Kuna mshikaji nilisoma nae advance enzi hizo, Babaake alikuwa mwalimu na mother ake anaduka la dawa pande flan ivi
Sasa jamaa ikitokea akaongea na mdada let say hasa Wale wa form one ambao hawajajua mazingira fresh.,

Anamwambia Baba ake ni mkuu wa shule na mama ake ni doctor, kwao wanamiliki magari na wanafedha ndefu na yy pia anagari,

Af anamwambia jion utaniona na drive, cha kushangaza jion utamuona na piki piki zile kubwa 125/250 ubavun anaendesha,akikutana nae anamwambia gari imeharibika or haina mafuta.

So vidada vikawa vinamshobokea hatari lakin kumbe ni uongo mtupu, huyo jamaa kwenye kijiji hicho anajulikana kwa frick zake hadi watu wanamdharau ile mbaya.

Kiukweli hata mm urafiq na yeye ulikuwa bac tu coz alikuwa class mate wangu.

Mbaya zaidi...

Tumemaliza advance akaapply kwenda sheria akijua kuna mkopo, kumbe baada ya kufika kule mambo yakabuma akashindwa hata kusoma, cha kushangaza akawapigia CM class mates wake wote aliokuwa ana namba zao akawaambia anasoma law pale university of dar es Salaam.

Baada ya kuchunguza kwa makini kumbe jamaa mambo yaligoma akaenda studio Now ni artist anatengeneza nyimbo hata kwao alishasepa kutokana na watu wanavyomchukulia ndivyo sivyo.

By the way, kuna mambo ya kujisifia na sio yote, Anglia na yale yanayoendana na Hali iliyopo na mtu aliyonayo zaidi ya hapo ni kujiharibia sifa kitaa na mazingira yanayotuzunguka

Naungana na hoja ya mtoa Mada, Mimi Kama mjumbe.

Nawasilisha.
 
Waongoza kwa Tabia za kujiafia ujinga ni wanaume , unakuta mtu anajisifia ujinga, et ukitaka kumpata mwanamke kirahisi nunua pesi muwekee panadol ili alewe, pia kuna wadada humu wanajiuza tena hawana hata haya
[emoji15] [emoji134] ukisemacho una uhakika nacho,hebu nipm Id za wanaojiuza
 
Tabia mbaya ni Kama hizi.

...kujisifia kuwa na uwezo flan ilihal huna.

....kusema unamiliki vitu ghali wakati hata baiskel huna.

Mfano.

Kuna mshikaji nilisoma nae advance enzi hizo, Babaake alikuwa mwalimu na mother ake anaduka la dawa pande flan ivi
Sasa jamaa ikitokea akaongea na mdada let say hasa Wale wa form one ambao hawajajua mazingira fresh.,

Anamwambia Baba ake ni mkuu wa shule na mama ake ni doctor, kwao wanamiliki magari na wanafedha ndefu na yy pia anagari,

Af anamwambia jion utaniona na drive, cha kushangaza jion utamuona na piki piki zile kubwa 125/250 ubavun anaendesha,akikutana nae anamwambia gari imeharibika or haina mafuta.

So vidada vikawa vinamshobokea hatari lakin kumbe ni uongo mtupu, huyo jamaa kwenye kijiji hicho anajulikana kwa frick zake hadi watu wanamdharau ile mbaya.

Kiukweli hata mm urafiq na yeye ulikuwa bac tu coz alikuwa class mate wangu.

Mbaya zaidi...

Tumemaliza advance akaapply kwenda sheria akijua kuna mkopo, kumbe baada ya kufika kule mambo yakabuma akashindwa hata kusoma, cha kushangaza akawapigia CM class mates wake wote aliokuwa ana namba zao akawaambia anasoma law pale university of dar es Salaam.

Baada ya kuchunguza kwa makini kumbe jamaa mambo yaligoma akaenda studio Now ni artist anatengeneza nyimbo hata kwao alishasepa kutokana na watu wanavyomchukulia ndivyo sivyo.

By the way, kuna mambo ya kujisifia na sio yote, Anglia na yale yanayoendana na Hali iliyopo na mtu aliyonayo zaidi ya hapo ni kujiharibia sifa kitaa na mazingira yanayotuzunguka

Naungana na hoja ya mtoa Mada, Mimi Kama mjumbe.

Nawasilisha.
Afadhali umemsaidia mleta mada ili aeleweke zaidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom