Xiao qui shui JF-Expert Member Joined Feb 26, 2022 Posts 6,451 Reaction score 11,322 Oct 12, 2024 #61 Miss Natafuta said: Kwanini watu wengi wanapenda kuita mtu tajiri tajiri. Unakuta hata hawakujui. Kumbe huna hata kitu Hili swala liko common kwa wanaume. Kwanini mnapenda kuita hivyo, wakuu? Sio kila mtu anapenda kusifiwa. Click to expand... Kwani wewe ni mwanaume?? Na hilo linakukera nini?? Mbona nyie mnaiitana shoga na hakuna shida!!🤔
Miss Natafuta said: Kwanini watu wengi wanapenda kuita mtu tajiri tajiri. Unakuta hata hawakujui. Kumbe huna hata kitu Hili swala liko common kwa wanaume. Kwanini mnapenda kuita hivyo, wakuu? Sio kila mtu anapenda kusifiwa. Click to expand... Kwani wewe ni mwanaume?? Na hilo linakukera nini?? Mbona nyie mnaiitana shoga na hakuna shida!!🤔
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 117,719 Reaction score 191,804 Oct 13, 2024 #62 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 33,953 Reaction score 56,098 Oct 13, 2024 #63 Hatari sana
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 176,219 Reaction score 194,248 Oct 13, 2024 #64 Lisemwalo lipo, wewe zipokee tu hizo salaam huwezi jua... Cc: Mahondaw
K kibobori mahoro JF-Expert Member Joined Dec 12, 2022 Posts 8,625 Reaction score 12,194 Oct 13, 2024 #65 Huenda tajiri ni mtu mwenye viungo vyote, hivyo uweza wa kuchapa kazi anao, kuitwa tajiri ni "utajiri unaokujia ".
Huenda tajiri ni mtu mwenye viungo vyote, hivyo uweza wa kuchapa kazi anao, kuitwa tajiri ni "utajiri unaokujia ".
Powell Gonzalez JF-Expert Member Joined Jun 28, 2023 Posts 1,662 Reaction score 3,017 Oct 13, 2024 #66 Unapata wapi mda wa kuanzisha useless thread like this, man?
ielewemitaa JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 11,016 Reaction score 9,722 Oct 13, 2024 #67 Miss Natafuta said: Kwanini watu wengi wanapenda kuita mtu tajiri tajiri. Unakuta hata hawakujui. Kumbe huna hata kitu Hili swala liko common kwa wanaume. Kwanini mnapenda kuita hivyo, wakuu? Sio kila mtu anapenda kusifiwa. Click to expand... Tulia tajiriiiiiiiiiiiiiii
Miss Natafuta said: Kwanini watu wengi wanapenda kuita mtu tajiri tajiri. Unakuta hata hawakujui. Kumbe huna hata kitu Hili swala liko common kwa wanaume. Kwanini mnapenda kuita hivyo, wakuu? Sio kila mtu anapenda kusifiwa. Click to expand... Tulia tajiriiiiiiiiiiiiiii
kijani11 JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 8,385 Reaction score 9,219 Oct 13, 2024 #68 Miss Natafuta said: Kwanini watu wengi wanapenda kuita mtu tajiri tajiri. Unakuta hata hawakujui. Kumbe huna hata kitu Hili swala liko common kwa wanaume. Kwanini mnapenda kuita hivyo, wakuu? Sio kila mtu anapenda kusifiwa. Click to expand... Mkuu, ni nanmna ya kunogesha maongezi tu. Hata mi naitwa Boss wakati sina ubosi wowote.
Miss Natafuta said: Kwanini watu wengi wanapenda kuita mtu tajiri tajiri. Unakuta hata hawakujui. Kumbe huna hata kitu Hili swala liko common kwa wanaume. Kwanini mnapenda kuita hivyo, wakuu? Sio kila mtu anapenda kusifiwa. Click to expand... Mkuu, ni nanmna ya kunogesha maongezi tu. Hata mi naitwa Boss wakati sina ubosi wowote.