Tabia ya wasichana kutuchomesha mahindi wavulana inaboa sana.

Kusubiri kwa kwel si zaidi ya saa moja, Baada ya hapo naendelea na ishu zingine. Kweli masaa zaidi ya 5 baa unasubiri tuu?
 
Kuchomeshwa mahindi ni kitu cha kawaida, mwanaume unagandishwa kwenye kituo cha basi mpaka unaonekana kama vile umekosa nauli ya kupanda basi. Mahindi mahindi jamani angryyyyyyyy
 
Bora wewe...mi nilipanda gari toka dar hadi moro kufika stand mtu hatokei kuanzia saa 7 had 11 mtu anakuja,alipofika nakauchuna nikamwambia mbona mi nasubiri gari nirudi?? Nikawaza nirudi bila kugonga mzigo!! Mzee kesho yake niliondaka mazma na penzi langu and love died there...
 
Unakuta mtu umepanga kukutana na galfrnd wako,let say saa 8 mchana,anajikawiza hadi inafka saa 12jion,afu ndo anakuambia,''unajua nin honey,mumy alinipa kazi flan,yan ndo nimeimalza saa hz,afu nahis nimechoka,hata kutembea siwezi,tuonane siku nyngne mpz,love u'' muda huo unakua ushatuma crdts za kutosha afu ndo unaambiwa vitu ka hvo.sio mpango dada zetu,tunaharbiana ratiba bana.

una roho ngumu sana mie nusu saa ningelikuwa nimekwisha kuishia.................huyo binti siyo mstaarabu alipaswa kukueleza ya kuwa amebanwa na akabanika.....................pengine huo pia ni ujumbe kuwa hakuhitaji.........fungua macho na endelea na safari zako.........
 
kwanini na ww hujamjibu kua afazali hukuja mana kuna shemeji yangu kaja home na rafiki yake basi ni full burudani nikawa nimekutumia text kua tutaonana wiki ijayo kumbe haikukufikia sorry......ila kwakua umechoka nakuelewa mpz wangu wacha ss twende dinner party...byeeeeeeeeeeeee
uone ka hajazimia huko aliko mana kukuambia ww ivo ni ili uumie sasa ww ndio unaua mzizi wa fitina kwa kumtumia text ya upole maneno yake ka bomu la nyukilia tuone ka hajakutafuta yy na michozi kibao inamtoka

Daaah nimeipenda hii ntaijaribu one day...
 
Mkuu na wewe ulikuwa unayaangalia yanavyoungua aise
Yaani nusu saa kwangu ni issue
Sababu za sijui foleni sijui nimechelewa wapi imekula kwake
Sitakuwa na huo muda tena

Vp kwani wewe hujaoa?? Nauliza tu...
 
kwanini na ww hujamjibu kua afazali hukuja mana kuna shemeji yangu kaja home na rafiki yake basi ni full burudani nikawa nimekutumia text kua tutaonana wiki ijayo kumbe haikukufikia sorry......ila kwakua umechoka nakuelewa mpz wangu wacha ss twende dinner party...byeeeeeeeeeeeee
uone ka hajazimia huko aliko mana kukuambia ww ivo ni ili uumie sasa ww ndio unaua mzizi wa fitina kwa kumtumia text ya upole maneno yake ka bomu la nyukilia tuone ka hajakutafuta yy na michozi kibao inamtoka

Duh,we ni msichana kwel? Ningekugongea lke but ki2 cha cm hich
 
kuna dada mmoja hata mimi alinichomesha sema nilikua namsubiri baa kwa
hiyo alisaidia serikali kupata mapato kupitia kodi za biere
 
unachomeshwa mahindi masaa 8 nawe upo tu!! kweli unamatatizo si ungeunganisha picha za vikatuni kama watoto ukajua movie ikoje au sinema ya kihindi unaunganisha matukio
 
Unakuta mtu umepanga kukutana na galfrnd wako,let say saa 8 mchana,anajikawiza hadi inafka saa 12jion,afu ndo anakuambia,''unajua nin honey,mumy alinipa kazi flan,yan ndo nimeimalza saa hz,afu nahis nimechoka,hata kutembea siwezi,tuonane siku nyngne mpz,love u'' muda huo unakua ushatuma crdts za kutosha afu ndo unaambiwa vitu ka hvo.sio mpango dada zetu,tunaharbiana ratiba bana.

ha ha ha ha ha ha ujue alikuwa na jamaa mweingine na kama hakuwa na jamaa basi anza kutafuta demu mwingine aisee....
 
he he he we kweli mvumilivu hili mbivu hujazila...my principle,naongezaga nusu saa ya kuchelewa juu ya muda tuliokubaliana after that nasepa zangu.haiwezekani mtu akuweke sehemu mpaka watu wanafikiri we ni mlinzi
 
Unakuta mtu umepanga kukutana na galfrnd wako,let say saa 8 mchana,anajikawiza hadi inafka saa 12jion,afu ndo anakuambia,''unajua nin honey,mumy alinipa kazi flan,yan ndo nimeimalza saa hz,afu nahis nimechoka,hata kutembea siwezi,tuonane siku nyngne mpz,love u'' muda huo unakua ushatuma crdts za kutosha afu ndo unaambiwa vitu ka hvo.sio mpango dada zetu,tunaharbiana ratiba bana.
watoto wengi sana humu jf sikuhz. Hv kwanini msiendelee na facebook hd atleast muwe matured?
 
Back
Top Bottom