Tabia ya Warembo kuvuta bangi imetokea wapi?

wewe sikuhizi kuna vijiwe vya wadada wavuta bhangi, hata humu wamo
 
Mawazo,mapenzi,stress .,wanazitoa kwa bange ,pombe na shisha
 
Tatizo ni katiba mpya na tume huru mkuu!
 
Wakuu bangi ni kitu gani?
Bange ni sigara ya asili inayotokana na mmea asili ambayo unaweza kujitengenezea nyumbani kwako ukavuta.

Ajabu ni kwamba serikali haitaki uvute kitu asili, wanataka wakupe sigara iliyotengenezwa kiwandani ikaongezwa kemikali(embassy, sportsman).

Huu ni uzwazwa wa hali ya juu.
 
POMBE NI MBAYA SANA,LAKINI BANGI INASIFA MBAYA SANA

Ni ngumu sana kuielewa hii statement hasa ukiwa sio muelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…