Yaani hasa hawa watoto wa kaskazini wana balaa sana yaani watoto wazuri unasema umeopoa unafika nae room anatoa misuba na kvant yaani unabaki mdomo wazi maana mm mwenyewe sithubutu ata kusogea bangi ila yeye anavuta vijiti viwili chap tu.Huu utamaduni wa watoto wa kike kuvuta bangi umetokea wapi?
siku za hivi karibuni nimekuwa nikikutana na wadada warembo wa vyuo, wengine watumishi katika ofisi za umma na binafsi wanavuta sana bangi. Zamani tulizoea vijana wa kiume ndio walikuwa watumiaji wa bangi lakini hawa nao walionekana watu wa ajabu kwenye jamii. Sasa hivi hawa warembo tena wasomi na wenye maisha mazuri wanavuta, wanakula na wanakunywa bangi.
Ni kitu gani kinawasibu dada zetu?
Mkuu ila toka utafiti wa juz ufanyiwe kuwa inaua inabidi uvutaji uwe wa tahadhariMnatumia nguvu nyingi sana kuichafua bangi ila ukwel wa bangi tunaujua.
Zinawapa sana nyege sana pia relieve stress kwa muujibu waoHuu utamaduni wa watoto wa kike kuvuta bangi umetokea wapi?
Siku za hivi karibuni nimekuwa nikikutana na wadada warembo wa vyuo, wengine watumishi katika ofisi za umma na binafsi wanavuta sana bangi. Zamani tulizoea vijana wa kiume ndio walikuwa watumiaji wa bangi lakini hawa nao walionekana watu wa ajabu kwenye jamii.
Sasa hivi hawa warembo tena wasomi na wenye maisha mazuri wanavuta, wanakula na wanakunywa bangi.
Ni kitu gani kinawasibu dada zetu?
Hakuna kitu ambacho hakiwezi ua hata jf inaua pia umakini unahitajika kila mahaliMkuu ila toka utafiti wa juz ufanyiwe kuwa inaua inabidi uvutaji uwe wa tahadhari
Uto tumiguu twako tunatia nyege sanaUjio wa Shisha umerahisisha uvutaji wa bange!
Wanaiongelea bangi vibaya kiasi kwamba unaweza ukahisi bangi ni mbaya.... wanashusha brand ya bangi...Mnatumia nguvu nyingi sana kuichafua bangi ila ukwel wa bangi tunaujua.