Mdakuzi mkuu
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 212
- 719
Tabia zingine bhana.
Wadada wa siku hizi wanapenda sana kuchomeka simu kwenye mifuko ya nyuma.Kama anazo mbili, anachomeka nyuma kwenye makalio yote mawili. Hasa wale wenye smartphones.
Sijui n ugonjwa, sijui wamekula maharage ya wapi, sijui n ushamba.
Tanzania inachosha sana. Linaisha hili, linakuja hili.
Saiv tunadeal na Ben Saanane, baa la njaa, uchaguzi wa huko Zanzibar, Faru John, umaskini na mambo mengine lukuki.Lakini kuna watu wanaleta vijitabia vya ajabu.
Source:Mm mwenyewe nikiwa na hasira japa.