Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,602
- 20,101
- Thread starter
- #141
Na atakutangaza kweli kweli....Kwa reputation ya jina lako sikuwaza kama utaogopa kutangazwa vitu vidogo kiasi hiko.
Huyo dogo hana heshima kwa mke mtarajiwa wa kaka yake kabisa.
Kwanza kumchomehsa mahindi a lady mwenye zake heshima ni crime aganist gentlemanhood, kisha anatukana????????
Then mume mtarajiwa anashindwa kuhandle small things kama hizo?
Kweli gentlemen tumebaki wachache
No twin.ni kidole kilipata kihere here kikaplace send..but iko tayar nw
Hiyo tabia ya kugandishana kituoni huwa inakera sana
My Triplet, pole sana kwa yaliyokukuta. Nona wadau wengi wamekushauri. Binafsi nshachomeshwa sana tu mahindi, yaan mie ni muhanga wa kuchomeshwa mahindi ila sikomi. Huwa nakasirika mpaka mwisho lakini sijui huruma inatokea wapi nasamehe na kusahau. Kweli huo ni udhaifu wangu.
Fuata ushauri wa wadau hapo nyuma!