Tabia ya Shemeji yangu

Tabia ya Shemeji yangu

Ila huyo shemeji naye si mkazi wa Dar, kama walipanga wakutane saa tano basi angejipanga kuondoka muda wa kukadiria ambao ungemuwezesha kufika kwenye eneo la makutano muda muafaka?

Wengne wanatumia makalio kufkl..wewe unatumia akl na ubongo wako..I like u
 
Sijui ulichomuandikia mpenzio. Ila kama uliandika vitu vya kawaida hofu unakuwa nayo ya nini? Labda uwe tegemezi kwake "100%" au umekuwa limbukeni wa penzi lake ndo utakuwa na hiyo hofu. Endapo umeandika vya kawaida, na mpenzio ni mwelevu basi hamna haja ya kuwa na hofu.

Mmh siwez jua nae kasema nn jamaniiii
 
Na atakutangaza kweli kweli....Kwa reputation ya jina lako sikuwaza kama utaogopa kutangazwa vitu vidogo kiasi hiko.
Huyo dogo hana heshima kwa mke mtarajiwa wa kaka yake kabisa.
Kwanza kumchomehsa mahindi a lady mwenye zake heshima ni crime aganist gentlemanhood, kisha anatukana????????
Then mume mtarajiwa anashindwa kuhandle small things kama hizo?
Kweli gentlemen tumebaki wachache
 
Back
Top Bottom