Tabia ya Shemeji yangu

Tabia ya Shemeji yangu

mapenzi ni utumwa hiyari.....so enjoy tu ....

Hapana..sometimes tunatakiwa kuwa wavumilivu coz ukiamua kumuacha kwa kosa lnaloongeleka na kusameheka unadhan ntaacha wangapi The Boss kaka angu??ilhal mm n mdada na s mkaka.ingekuwa mkaka kuacha rahs sana s ntantafta mwngne..
 
chagua jibu sahihi zaidi;
kabla ya tukio la leo mahusiano yenu na shemeji yalikuwa
(a)mazuri
(b)ya kusuasua
(c)mabaya
(d)mabaya zaidi
 
Hapana..sometimes tunatakiwa kuwa wavumilivu coz ukiamua kumuacha kwa kosa lnaloongeleka na kusameheka unadhan ntaacha wangapi The Boss kaka angu??ilhal mm n mdada na s mkaka.ingekuwa mkaka kuacha rahs sana s ntantafta mwngne..

hukunielwa sikusema umuache
nimesema usiogope to show your true emotions..
usi pretend its okay kwa woga wa kumkosa mpenzi
onyesha waziwazi walivyokutibua.......na mpenzi akiwa anamtetea mdogo wake mpe makavu live kuwa amekutibua..

avoid emotional suppression..not good for your health....na sio nzuri ku hide true feelings pia
 
kabla ya tukio la leo mahusiano yenu na shemeji yalikuwa mazuri au ya kusuasua

Hatuna hata mazoea kama niweze kusema tulikuwaje.but tushawah wasliana kwa smu vzur tu..na hatujawah gombana
 
hukunielwa sikusema umuache
nimesema usiogope to show your true emotions..
usi pretend its okay kwa woga wa kumkosa mpenzi
onyesha waziwazi walivyokutibua.......na mpenzi akiwa anamtetea mdogo wake mpe makavu live kuwa amekutibua..

avoid emotional suppression..not good for your health....na sio nzuri ku hide true feelings pia

Nimeipendaje hii:thumbup::thumbup: makavu tu nkletewa zogo.kwanza nna cheleweshaga nkiona napandwa kchwan???
Imekaa poa sana hii
 
Yan unamsubiri mtu saa nzima??

Nadhani 10 mins ni nyingi sana.

Kuna mtu alinisubirisha sehemu masaa matatu halafu hakutokea. Nilishika adabu, niasema kuanzia siku hiyo ni dk 10 tu za kumsubiri mtu.
 
Yan unamsubiri mtu saa nzima??

Nadhani 10 mins ni nyingi sana.

Kuna mtu alinisubirisha sehemu masaa matatu halafu hakutokea. Nilishika adabu, niasema kuanzia siku hiyo ni dk 10 tu za kumsubiri mtu.

Heee! Umekuja huku. .ha ha ha, but nltaka nkuite sasa hv yaan. Ndo hvo bhana Bulldog wangu.yamenkuta miee..
 
Last edited by a moderator:
Jamani wana MMU yamenikuta, wiki hii nilipanga nikutane na shemeji yangu wa kiume, yaani ndugu wa damu wa mpenzi wangu. Nilitaka kukutana nae maeneo ya ubungo stand ili aweze kunipa funguo ya nyumba ya mpenzi wangu ambaye kwa sasa yupo safarini nje ya jiji na baadhi ya vitu ambavyo alikabidhiwa na kaka yake siku ya safari yake na wakakubaliana ataniletea. Hapo nyuma tulikubaliana siku fulani hivi kuwa aniletee lakini nilichoma sana maindi ama kuuza nyago bila ya shemeji kutokea na kwenye simu hakuwa akipatikana hewani wakati aliniambia anakuja, nilisubiri kama masaa mawili hivi.nilichukia sana lakini nikamsamehe na kukubaliana tukutane siku nyingine aweze kuniletea vile vitu.
Wiki hii sasa,
Tukakubaliana avilete vile vitu hapo ubungo stand na nilimpa tahadhari ya kujali mida kwani siku hiyo nilikuwa na sehemu zingine za kwenda, so on time awe amefika na yeye akahafiki hilo na kukubaliana iwe saa 5 asubuhi.basi on time bidada nikafika zangu ubungo na kumpigia kumjulisha kama mimi nimekwisha fika.
1-alichelewa kupokea simu kama mara 2 hivi na alipopokea akasema yupo njiani anakuja, nilipo muuliza yuko wapi akasema hajui wapi.
Nikapata wasi wasi kwa kauli yake hiyo, nikampigia mpenzi wangu na kumuomba amuulize mdogo wake yuko wapi.kweli akatekeleza akanipa jibu lililonikera, kwamba ndo anatoka nyumbani maeneo ya buguruni kwa shangazi yao.
Nikavuta muda kama dak.15 nikampigia nikamuliza tena umefikia wapi akanijibu nipo river side na nimpe kama dak.10 atakuwa amefika.nilikuwa makini sana na muda wangu lakini nilipochek time ilikuwa saa sita mchana.nikamvumilia lakini mpaka saa sita na dak.20 hakuwa amefika.nikamtumia sms nikamwambi kama upo mbali sema mm niendelee na my schedule akasema hayupo mbali nimsubiri, nilikaa mpaka dak30 ya saa sita hakuw amefika.

Sasa ikawa inaelekea saa saba kasoro, kw kuw nilikuwa nimeshachelewa event moja nika I cancel lakini hii nyingine nilishindwa kui cancel nikamwambia "nakuomba shuka hapo ulipo na urudi kwani mimi sitaweza tena kukusubiri ninachelewa sehemu nyingine, hivo vitu viweke na atakuja kuvichukua kaka yako.hakunijibu basi mimi niakondoka zangu.saa saba anatumia sms eti nimefika uko wapi, nikamjbu niliko magomeni hospital. Akaanza kupanic na kunitumia sms mbaya.of coz mimi ni binadamu na nina hisia pia, na kwa kuwa alikuwa amekwisha nikwaza basi tulijibishana kwa sms na alishanitukana lakini mimi sikumjibu sms za kumtukana but nilimjibu kumuonyesha ni jinsi gani alinikera.
Nina hofu kwa mpenzi wangu kwa hili lililo tokeA, atanielewa kweli. ?? Kwasababu nilivo mwambia akasema siwezi liongelea hili kwa sasa nisubiri nirudi.yeye anarudi week ijayo na sku zilizofuata baada ya tukio tumekuwa tukiwasiliana kama kawaida.
Kiukweli nina wasi wasi. .

POle sana, unachona kwa huyo shemeji si ajabu ni mawasiliano ya jamaa yako na yeye, labda jamaa hakupi heshima stahiki... au tu shemeji yako hana adabu

mpe feedback jamaa yako, na pia jaribu sana kuavoid any encounter na huyo shemeji na kama jamaa anatuma kitu basi mwambie kabisa isipitie kwa huyo dogo

atakuletea majasho tu

Ila kwa jina lako tu, heshima itakua nadra sana, maana majina ya humu JF yanaendana sana na tabia za watu... e.g. mimi janjaweed na vurugu ni damu-damu
 
Wao wenyewe background yao s nzur na mpaka sasa maelewano n dak2 mbele.inasemekana dogo mtata but kaka yake aldhN nw atakuwa kachange, kumbe dogo bado ana za ki childish. .mmh.kuna kutumwa tena hapo wakat kasema staki mni evolve kwenye jambo lenu lolote.nam kwakuwa hatujawah mshrksha lolote na nlkuwa na hasira zangu nkamzodoa kw swal yaan "tushawah kukuhussha lolote?"
So, sjui huko mbele itakuwaje but kwa sasa shtaj hata kumuona
 
No, usipende m judge mtu ksa jna au muonekano.ts just an Id na haina uhalsia wowotw na maisha yangu.na nlkuwa namheshmu sana kama shemej yangu.co tuna future plan na kaka ake.so sjawah mkosea heshma
 
Hatuna hata mazoea kama niweze kusema tulikuwaje.but tushawah wasliana kwa smu vzur tu..na hatujawah gombana

Hatuna hata mazoea kama niweze kusema tulikuwaje.but tushawah wasliana kwa smu vzur tu..na hatujawah gombana

maana yake ni kwamba humjui kwa tabia na mienendo yake. Yawezekana yeye kwa asili yake si mtu anayejali mda (wapo watu wa hvyo), lakin pia kwa kuwa hakuwah kukuona pia na hana mazoea na wewe hajawa na ile concentration kwako kama shemej yake. Kikubwa tunza hizo sms kama ushahidi siku ya kesi. Lakini pia jiandae kwa maelezo mazuri kuhusu kujibizana huko maana yeye kuchelewa kufika yawezekana siku ya kesi akatoa sababu nzuri kabisa ya kwa nin alichelewa ambayo wewe hukuweza kuvumilia na kumsubiri ili akwambie kwa nin alichelewa ila mkaishia kujibizana hovyo.
Mwisho wa siku jiandae kuomba msamaha, huyo ni shemeji yako na yawezekana kakukosea na ulikuwa na sababu ya kureact lakin kama huyo jamaa yako ni mtu ambae unataraji kuoana nae ni vema ukaomba msamaha kwa shemeji yako usianze kutengeneza maadui mapema ktk familia ambako unataraji kwenda huwezijua huyo shem ana ushawish gani kwa wanafamilia wengne.
Namaanisha hata ukionekana we ndo unadeserve kushnda hiyo kesi, usijejigamba na kutembea kifua mbele kwa kumwonyesha shem wako kuwa ni looser! Endelea kuwa nae tu positively kama shemej yako
 
Na huyo mdogo wake nishawah skia habar zake.huwa haziend na kaka ake.yaan dak.2 mbele..hayupo hvo mpenz wangu.n mskivu na anapenda kutoa fair decision
fair decision?
na hili pia linahitaji ukaribu wa kijipgrafia kulielewa?
mmmmh mwayego usinisikilize mie,thts mahallat yako sweerie!
 
Wao wenyewe background yao s nzur na mpaka sasa maelewano n dak2 mbele.inasemekana dogo mtata but kaka yake aldhN nw atakuwa kachange, kumbe dogo bado ana za ki childish. .mmh.kuna kutumwa tena hapo wakat kasema staki mni evolve kwenye jambo lenu lolote.nam kwakuwa hatujawah mshrksha lolote na nlkuwa na hasira zangu nkamzodoa kw swal yaan "tushawah kukuhussha lolote?"
So, sjui huko mbele itakuwaje but kwa sasa shtaj hata kumuona
mhh... skirini tachi balaa
 
No, usipende m judge mtu ksa jna au muonekano.ts just an Id na haina uhalsia wowotw na maisha yangu.na nlkuwa namheshmu sana kama shemej yangu.co tuna future plan na kaka ake.so sjawah mkosea heshma
haya... si mimi ni common tu

ukiona mtu kapiga kata ku.ndu lazma ujue hajakua
 
....kama akikuzingua wewe njoo kwangu tu....nikupe maloveee ya kihindi mtoto unenepe kama big show....mbona mimi mwenyewe longtime nakuzimikia tu....acha kuishi kwa wasiwasi kama unakaa manzese au tandale.....achana na boya huyoo...ambaye mambo madogo kama hayo anashindwa kuya handle mpaka aunde tume.....iko siku akitaka kuku bandua ataita kikao cha ndugu kwamba jamani leo nakula mzigo sasa nimueweke style gani......ningekuwa hapo kitambo ningesharudi...mara moja na ningem butua dogo mbele yako honey...ili ujue mimi sio wa mchezo.....alla....
 
Kuna binadamu hawajui kuthamini muda wa wenzao. Unakuta ndio kwanza anaenda kuoga halafu anakwambia nitakua hapo baada 6a dakika 10

sasa wasiwai wa nini?

waswahili mbona tuna shida?
umsubiri mtu saa nzima halafu akutukane na uwe wewe una wasiwasi?

mimi hata mama yangu mzazi simsubiri saa nzima......

ukijiendekeza utakuwa 'a doormat kwa watu'
kila mtu atakusubirisha masaa kadhaa...kila wakati..
tell them to go to hell wote mtu na mdogo wake...
 
Una miaka ngapi? Is this a big issue to discuss? Gundi inayowaunganisha haijakauka bado mbona una wsws sana
 
Back
Top Bottom