EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,477
- 15,347
story kama hii ilishakuja humu jamvini; ningekuwa kama EMT ningeweza kuifukunyua na kuweka link.
Story kujirudia siyo mbaya sana. I always say kama umekumbwa na tatizo, you are not the first one to face it. Tatizo liko tuu pale mtu anapoomba ushauri kwa ajili ya tatizo fulani halafu next week anakuja na thread nyingine ya kuomba ushauri ambao ni completely the opposite ya alioomba last week.
Mfano kuna member alianzisha thread titled: "Anataka kunikimbia....kisa....eti simfikishi kilimani!" Kwenye thread aliandika:"Jamani nimetumia akili, nguvu, juhudi, jitihada, maarifa na kila kitu ili mradi tu afurahi; lakini sina hakika kama nimegonga mwamba au ni kwamba ameamua tu kuniumiza. Ndio kusema hanitaki? Au anayoyasema ni kweli! Sasa nyumbani kimenuka, na hataki tena nile. Hapa ameniambia nimtafutie nauli aende zake! Kumpenda nampenda, nifanyeje?"
Kesho yake tuu member huyo huyo akaja thread nyingine titled: "Mwenzi wangu anatoa ukelele. majirani wanadai tunawasumbua hawalali eti tuhame". Kwenye hiyo thread aliandika: "kwa kweli kwenye shuhuli anatoa ukelele wa hali ya juu. sasa majirani wamecharuka wanadai tuhame tunawakaraisha. nimemsihi mwenzi wangu apunguze lakini anadai hafanyi makusudi anapokaribia mshindo tu ndo huwa balaa. Nifanyeje mwenzenu na kesi tayari ipo kwa mjumbe majirani wamecharuka."
Inaelekea JF ina washauri waliobobea kwenye haya makitu to the extent kwamba mtu anakuja hapa kuomba ushauri wa kumfikisha mywaifu wake kuliko, anapewa huo ushauri, anenda kuufanyia kazi usiku mmoja tuu mpaka majirani wanapeleka kesi kwa mjumbe.
Surely, hawatashindwa kumshauri hata huyu aliyeleta hii mada.