Tabia ya Mamlaka Kuruhusu Biashara kufanyika barabari

Mo-TOWN

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,721
515
Kuna mambo huwa ni magumu sana kuelewa....Hivi ni rahisi kujenga barabara ya lami kisha kuifanya ni sehemu maalumu ya wafanyabiashara wadogo?. Chakula kinapangwa barabarani....mbele ya macho ya TFDA, TBS, traffic police, manispaa, jiji nk. Hivi ni rahisi kujenga barabara ya lami badala ya mabanda maalumu sehemu maalum kwa ajili ya wafanyabiashara wadogo....ni siasa zimetutawala fahamu zetu, ni hulka ni ninj hasa kwa mnaofahamu hili.

Hivi tunavyobariki wafanyabiashara wadogo (wapiga kura) kupanga bidhaa zao juani tena maeneo hatarishi kiusalama na kiafya ndio tunawajali?? Mungu atusaidie ktk hili.
 
Walishatengewa maeneo ila hawataki kwenda wanasema wateja hawaendi kununua.

Wakitimulia hapo au Wakiachwa sisi hawa hawa wateja ndo tunawatetea au kuwalalamikia.

Kwangu mimi naona tatizo liko kwetu sisi wateja sio hao wafanyabiashara mkuu.
 
Back
Top Bottom