Tabia ya lecturers kukamata watu vyuoni kwa visasi

Tabia ya lecturers kukamata watu vyuoni kwa visasi

hilo jambo sidhani kama ni kweli sababu nilishamwamshiaga lecture mmoja kinoma akaniahidi sap na mm nikamwahidi kumfukuzisha kazi ila alishindwa sababu mitiani inasahishwa na kuakikiwa na mtu zaidi ya mmoja
 
Haya ni maneno ya vilaza ambao huwa siku zote wanatafuta sababu ya kuonyesha kwa rafiki, jamaa na wazazi wao kwamba kufeli si haki yao wakati uwezo wao ndo huo. As far as I know mitihani ikishasahihishwa na mwalimu husiku hupitiwa tena na external examiner kutoka nje ya chuo husika...sasa ufelishwe kwa kutotoa uchi kwani umewanyima wote? All in all, wa kulaumiwa ni wanasiasa wa nchi yetu ndo wanaleta kasumba hii nchini, vile wakifeli uchaguzi hawakosi sababu za kuonyesha kuibiwa na kupigwa fitina ndo hivyo hivyo na hii mitoto yetu chuoni imeamua kuwaiga. Yaani upate A yako afu lecturer aifanye D? How? Someeeni huko.
 
wakati mwingine wanachuo viherehere na ujuaji wa kipuuzi umezidi.

kuna madame mmoja alitusimamia risechi, ukweli hakuwa na ushirikiano nasi. ikafika siku ya kutetea tukaenda poa tu.

mdada wa mwisho kupewa nafasi ya kutoa maoni yake si kalopoka madame hana ushirikiano maneno meeengi? madame kakasirika (kisasi) katulamba B-plain yule dada C

ndo badae tunaambiwa sababu ya wote kupata B ni ujuaji wa mdada

visasi vipo ila vingi chanzo ni ujuaji na upuuzi wa wanafunzi
 
Hahahahaha umeshinda mkuu
Hizo ni challenge kazini wewe kama mwalimu hupaswi kuzigeuza kuwa chuki na kutaka kulipiza kisasi. Unaweza kujiuliza lecturer wa type iyo elimu yake iko wapi hapo? na inamsaidiaje?

wewe utajiuliza ila yeye tayari kasha kulostisha mkuu. ka g.p.a kanashuka mpaka 2.7 yeye hana habari na jamii inakuona ww ndo ttizo sio yeye
 
Kumekuwa na mtindo wa lecturers kusapusha na kukerisha watu vyuoni kwa visasi tu. Unakuta lecture anakerisha mtu kisa tu mwanafunzi amemkosoa namna anavyofundisha ama unakuta lecturer anasapusha mtu kwa sababu ya kupelekewa maneno ya uchochezi na watu ama kwa kugombea msichana ama kwa kukataliwa na mwanafunzi kimapenzi n.k
Swali la kujiuliza je hawa malecturer wenye tabia hizi walistahili kupewa jukumu la hilo??? Bilashaka jibu ni hapana, basi vyuo viweke utaratibu rafiki kwa wanafunzi wa kukabiliana na hali hii.

Leta kesi mbili ku support bandiko lako, vinginevyo itakuwa kama ni hisia tu
 
Kwa jitu lisilojua mifumo yetu ya elimu ilivyojaa "personal biases" na baadhi ya wahadhiri kufanya yasiyoendana na maadili ya kazi zao hawawezi kuelewa alicholeta kijana humu.

Wahanga wa madhila haya wako wengi..kinachotokea ni kufunika kombe yaishe ila kama hujui yanayotokea vyuoni ni bora ukapiga kimya..kulea ujinga ujinga ndo huku sasa watu wana vyeti vya GPA kubwa ila ku demostrate maarifa hayo kwa vitendo ni weupe.

Tuendelee kulea ujinga ujinga matokeo yake pia tutayakimbia.
 
sasa utagombeaje demu na lecturer!!!!mbona mnatafutaga majanga bila sababu???

kwa viherehere hivyo,mpambane tu na hali zenu.
 
UKWELI KABISAAA,NTARUDI KUTOA NONDO ZAID NA HUSUSAN MALECTURE VIJANA
 
Kuna mwalimu mmoja IFM alituambia "SUPP HAMCHOMOKI MTACHOMOKA KWENYE CARRY"Kilichotokea ni kama alivyopanga mtihani ulikua mrahisi kupita maelezo tena UNASHADE TU vibox lakini asilimia 90 watu walicarry.wewe SALU ORIO MR CHAPOMBE HIYO TABIA YAKO NI YA KIPUMBAVU TENA MWAMBIE NA KIBACHA ANAPENDA SIFA LAKINI HANA KITU KILICHOMSAIDIA ALISOMA ZAMANI KIPINDI KILE WANAFUNZI WANAPEWA MTIHANI WAENDE NAO NYUMBANI HALAFU KESHO WANARUDISHA MAJIBU KAMA PROFESA WA BUGURUNI ALIVYOUPATA UPROFESA WAKE
 
Back
Top Bottom