Tabia ya kuzima data ni ushamba

umenunua tecno juzi ndo wamekudanganya usizime data mshamba wew hata akili kawaida imekushinda
 
We Kama Unafanya Kazi Kastama Kea Usinipangie Jnc Ya Kutumia Data
 
Kuna sababu nyingi za kuzima data.Moja ni ku save charge.Mfano nina chaji kidogo kwenye simu yangu na ningependa simu yangu iwe hewani kwa muda mrefu mpaka pale nitakapopata sehemu ya kuchaji simu.Kwa hapa na save charge iweze kunipeleka kwa muda mrefu. Sababu nyingine kuu yenye mashiko ni kupunguza usumbufu na kupunguza unnecessary browsing ili uweze ku focus kwenye kazi fulani fulani. Kwa hiyo sio wote wanaozima data wanazima kwa minajili ya kusave data. Ila hata hivyo sababu ya kusave data inaweza kuwa na mashiko kwa wale wenye add tion ya browsing hasa kama una tabia ya kufanya unconcious broswing yaani umejikuta tu umefungua browser t yaani unakuwa kama upo programmed. Sasa ukigundua mtandao haupo akili mpaka upate sababu kwanini haupo akili inarudi kwenye consious mode na unagundua kwamba umeswitch off kwa sababu fulani na pale huwezi kwenda kwenye process ya kuiwasha maana inakuwa ni againsta kile ulitaka kuachive (avoiding impulsive internet surfing)
 
Pamoja na kutoa sababu za kudhurika kwa simu au huduma kutokana na kuzima daya, hujaelezea advantages zake.
Kama mchambuzi umefanya kazi nusu tu.
 
Hhh mshamba mbn kama ni ww,ungekua mjanja angalau ungewaelekeza wa activate 2G network pamoja na ku stop back ground apps
 
Umewagusa watu pabaya...
Binafsi nazima data nitakapo kujiunga kifurushi.
Kuhusu notification kuna option za kuzikataa yan ziishie hukohuko (mute)
Ktk charge kuna vingine kama SCREEN data sioni athar hasa H+/3G..Majanga 2G.
 
Umeandika kishankupeshankupe, Elimisha basiii. Ushamba ndo nini sasa?
 
Mkuu umewasilisha sawa lakini umekosea kitu kimoja kujiona mjanja akati wewe ndo mshamba wawa shamba mbele ya washamba.!!! Umeshindwa kung'amua kuwa kuzima data kuifanya simu kurelax na kuipa performance yake katika usanifu mzuri ni sawa nawewe unapopumzika baada ya kazi nzito mkuu USIFORCE TUFANANE AKILI/TUKOPI LIFE LAKO.
 
tunapangiana matumizi ya vitu kwa mtazamo wa mtu mmoja
 
Elimu unayoitoa ni maridhawa na muafaka ktk jamii ila punguza lugha ghadhabishi. Dawa ikiwa chungu hachanganywa na asali.
 
kwanini lakini jf kuna watu kama hawa, si wangetupisha tuu
 
Kwani kuzima data una maana gani maana mi huwa nachagu tu app gani iaccess data wakati kwa mfano emails huwa naacha wakati wote ila whatsap ni wakati nikiwa na ubongo mtupu,JF huwa ni wakati nikiwa nasikia kuna kaumbea kapya,instagram ni kama nimesikia kitu kipya toka kwa Mange Kimambi na You tube ni kama KIBA ametoa ngoma mpya,Twitter ni kama JPM kazua utata basi kule nitaona watu wakimchana LIVE FB ni kama kuna DEMU mpya aliyekataa kunipa namba yake basi naenda kumtafuta huko.KWA HIYO MIMI SIO MSHAMBA NA DATA USE BADO NINAIMANAGE VIZURI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…