Tabia ya kuzima data ni ushamba

Zile zote nini, funguka?!
Kwani sasa umejiunga kifurushi cha internet kama lengo ni kuokoa mfuko wako. Ukizima data kwani hutawasha baadae na kurudi kwenye umasikini ule ule uliokuwa unaukwepa mwanzo?
 
Mi natumia Sony Xperia ipo optimized sina haja ya kuzima data kila nikiwa sina matumizi nayo, inajiswitch off yenyewe tu screen ikiwa inactive kwa muda kidogo!

Asa hapo labda uiite simu yangu ya "KISHAMBA" sio mimi!
 
Kwani sasa umejiunga kifurushi cha internet kama lengo ni kuokoa mfuko wako. Ukizima data kwani hutawasha baadae na kurudi kwenye umasikini ule ule uliokuwa unaukwepa mwanzo?
Mkuu hoja zako hazima mashiko. Tunazima data kwa ajili ya mambo mengi, usikariri chatting. Kubali ukatae kiwango cha chaji kinachokuwa consumed kipind data iko off ni tofauti kabisa na kipindi data iko on. Sasa kama naweza nikasave battery yangu japo hata kwa 5% zaidi kwa kuzima data kwanini nisifanye hivyo. Imagine uko safarini na unayahitaji sana mawasiliano pindi utapofika, kwanini usizime data. Najua utakimbilia kusema mbona power bank kama unavyong'ang'ania vifurushi vya chuo. Vipi kwa wale wasiopenda kujibebesha mizigo isiyo ya lazima na inayoepukika.

Kwa muktadha wako washamba sio wale wanaozima data ila wale walioweka hiyo switch ya kuzima na kuwasha data. Sasa nikuulize unaamini hao Tecno, Huawei, Samsung, Iphone na wengineo ni washamba?! Kama jibu lako ni ndio nitakuwa sina msaada tena. Am out.
 
SMArtphone nyingi ukitOa tecno miezi 3 toka dukani, they barely make 8hrs with data on..............
Sasa inategemea unakazi gani siku hiyo, mtu ana kazi ambayo hakupi hata saa 1 karibu na umeme ubusiti chaji maana yake toka asubuhi simu yako itazima saa tisa mchana Sasa hebu imagine

Watu wengi ambao hawazimi data wanafanya shughuri ambazo wako karibu na umeme muda wote au wanatembea na mapower benki

kuzima data ishu sio bando ni chaji mkuu.......
 
Ipo siku mtasema kufanya mapenzi kila siku ni ujanja.
 
Huku ndio kukurupuka. Watu wengi wanazima data kuokoa betri na hata wakiwasha data wanakuwa wapo karibu na charger/umeme!
 
Labda km ww ndo unazima data ili utunze chaji....wengine wanazima data unakuta hawatak notifications muda huo....Hlf km unaona kuzima data hakuna umuhimu tengeneza cm yko ww ambayo itakua ukiiwasha tu automatically data inakua on na hkn sehm ya kuzimia....maana inaonekana umeshawaona wajinga ata walioeka sehem ya kuzimia data
 
Mkuu unachoongea na uhakika kinafanana na hiki,
Kula sasa hivi au ule baadae njaa ikikukong'ota...asa ndo nini kwanz ahaina maana..chaji tatizo kuwa na betri laki 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…