Habari zenu wadau
Jamani mimi nina katabia ambako mi mwenyewe sikapendi ila ndo sijui mazoea najikuta nachukia kuvaa chupi. Nitaoga nitavaa ila chupi sivai na kuna muda najikuta period imeanza na sijavaa chupi ntakimbia kuoga ndo ntavaa coz ya period.
Nikimaliza period tu sihitaji tena chupi. Nimejitahidi niache tabia hii nimeshindwa kabisaaa yani sijui ni mapepo dah najua siku ntakuja kuumbuka mie